Bishanga
JF-Expert Member
- Jun 29, 2008
- 15,323
- 10,050
Hakika kati ya mambo magumu yanayoweza kumkabili mwanaume ni kumwambia mkewe/gf/hawara kuwa 'its over'. Pamoja na kwamba kichwani mwako mwanaume unaweza kukata shauri kuwa huyu mwanamke hanifai kimbembe huwa kinakuja kwenye kumtamkia na ugumu unaongezeka kama unaishi naye. Wengine siku hizi wana text,wengine wanaandika e mail,wengine wanamtuma mtu awasemehe,all in all ni jambo gumu sana maana uongo binadamu tumeumbwa na uso wa haya.
Kwa wanaume: Kama ushawahi kujikuta katika situation hii ulifanye kumjulisha mwenzio kuwa mahusiano yenu yamefikia tamati?
kwa kinamama: Kama haya maswahibu yashawahi kukuta jamaa alikujulisha kwa staili ipi,and how was your reaction?
Nawasilisha