Kuanzia leo mi na wewe basi.......

Bishanga

JF-Expert Member
Jun 29, 2008
15,323
10,050
Hakika kati ya mambo magumu yanayoweza kumkabili mwanaume ni kumwambia mkewe/gf/hawara kuwa 'its over'. Pamoja na kwamba kichwani mwako mwanaume unaweza kukata shauri kuwa huyu mwanamke hanifai kimbembe huwa kinakuja kwenye kumtamkia na ugumu unaongezeka kama unaishi naye. Wengine siku hizi wana text,wengine wanaandika e mail,wengine wanamtuma mtu awasemehe,all in all ni jambo gumu sana maana uongo binadamu tumeumbwa na uso wa haya.
Kwa wanaume: Kama ushawahi kujikuta katika situation hii ulifanye kumjulisha mwenzio kuwa mahusiano yenu yamefikia tamati?
kwa kinamama: Kama haya maswahibu yashawahi kukuta jamaa alikujulisha kwa staili ipi,and how was your reaction?
Nawasilisha
 
Mkuu haijawahi kunitokea ila ni maamuzi tuu maana huwezi kubishana na matakwa ya wakati huo au kile ambacho moyo wako unaamua
Huwa mtu anafikia kipindi anaona kabisa hapa hakuna tena kwenda mbele ni bora liishe na ni ngumu sana kwa watu kama hao kusema wazi wazi
 
Ndugu yangu isikukute ,ni mtihani mgumu sana,kama hamusihi pamoja wengine huwa wanaamua kupotezea kwa kukata mawasiliano,kasheshe inakuja mwanamke akikutafuta akaku face na kukuuliza 'hey Rocky whats going on mbona umebadilika ghafla?' hivi utamwambia 'sikutaki tena?' sana sana utajiuma uma na kusingizia u bize.
 
hapo mkuu ni utata
maana kusema ile wazi kuwa sikutaki tena au nimekuacha ni shughuli
yaani unasingizia ubusy au safari sehem ambazo hazina net au visababu visivyo na kichwa
ila kusema ile wazi aise nimekutema ni issue
 
z

huo ndo mtihani na matokeo yake ndo 'sintofahamu' na mwishowe madai ya 'ulinipotezea muda' kumbe mapenzi yashakwisha long time.mambo magumu sana haya na ndo maana kama ni nyumba ya kupanga wengine huwa wanaondoka bila kuaga au wengine wana turn violent na kuanza kuwapiga wenza wao bila sababu ili mradi tu ajue kuwa hapendwi tena.
 
Yaani mkuu ni bora kupotezea na kuhama kabisa mtaa au nyumba unayokaa kuliko kuface the reality na zile lawama
hasa kwa mtu ambaye ushamwambia kuwa u can be her husband

Ukifikiria time u spend together, time she lost for you, her expectation and lot of her plan over you unaamua kupotezea na kuhama kabisa
 
Mi nilimwita home kwangu na nikamwambia...."it's Over" kila mtu afuate mambo yake kwa misukosuko tuliyopitia basi sitaki tena
 
Ugumu unakuja hapo,na tatizo mwanamke mwingine hata akiambiwa uso kwa uso huwa hawezi ku accept rejection,ndo mana wengi huwa wanachanganyikiwa,wanakonda na wengine wanakuwa suicidal.Yaani mwanaume bora yasikukute.
 
Mkuu inategemea na yeye kama ana maono ya kuona kuwa hapa kwa kweli hakuna tena relationship
Kweli hata ukimwambia anakubaliana na wewe
Ila kuna sometime umemchoka mtu unataka kumwacha wakati yeye bado anakupenda hapo ndio inaanza kasheshe umwambieje
 
wewe mwambie uko busy sana

wenye kuelewa wanaelewa....hasa kama huishi nae....

kama unaishi nae......hiyo shughuli
 
Ugumu unakuja hapo,na tatizo mwanamke mwingine hata akiambiwa uso kwa uso huwa hawezi ku accept rejection,ndo mana wengi huwa wanachanganyikiwa,wanakonda na wengine wanakuwa suicidal.Yaani mwanaume bora yasikukute.

yeah kwao ni ngumu sana kukubaliana na reality
na huishia kufanya vituko ambavyo huwezi tegemea
it is hard to accept hasa inapotokea kuwa huyo mtu bado mnapendana ila upande mmoja ashachoka na uhusiano wako na anaamua kukuacha wakati upande wa pili bado anapenda
 
TB imagine uko nae ndani bado anakupenda na anajua kwa hakika wewe ni mume wake mtarajiwa then unamwambiaje hilo
 
bishanga,kama ni yule mkeo anaekupiga,weeh sepa tu kimya kimya. tafuta nyumba hamia wala usijadili nae asije akakushawishi. atakuua siku moja.
 
wewe mwambie uko busy sana

wenye kuelewa wanaelewa....hasa kama huishi nae....

kama unaishi nae......hiyo shughuli
kama unaishi naye ni mtihani mkubwa sana,na bora iwe nyumba ya kupanga unaweza kusepa,kama ni ya kwako umejenga na akakwambia 'we mwanaume sikia,mi najua kuingia tu sijui kutoka' hapo utalijua jiji.Mi namjua jamaa aliyeamua kuuza nyumba wakati bado wote wanaishi humo ndani.
 
TB imagine uko nae ndani bado anakupenda na anajua kwa hakika wewe ni mume wake mtarajiwa then unamwambiaje hilo

ndo maana nikasema hapo shughuli....
wengine huanza na visa hivi
hakuna sex,hakuna story....unarudi umechelewa
una mtuhumu ana bwana nje....its funny

but mimi napenda ya kuacha kwa wema,mnazungumza mpaka anakuelewa
 
wanawake wa siku hizi sio ving'ang'anizi! unaweza kukuta nae anakupigia hesabu ya kukuacha,ukimuambia anaitikia haraka haraka,lmao!
Ugumu unakuja hapo,na tatizo mwanamke mwingine hata akiambiwa uso kwa uso huwa hawezi ku accept rejection,ndo mana wengi huwa wanachanganyikiwa,wanakonda na wengine wanakuwa suicidal.Yaani mwanaume bora yasikukute.
<br />
<br />
 
yeah kwao ni ngumu sana kukubaliana na reality
na huishia kufanya vituko ambavyo huwezi tegemea
it is hard to accept hasa inapotokea kuwa huyo mtu bado mnapendana ila upande mmoja ashachoka na uhusiano wako na anaamua kukuacha wakati upande wa pili bado anapenda
wakati mwingine sio kwamba anakupenda kihivyo ni njaa tu.
 
Back
Top Bottom