Kuanzia bajeti ijaoura kura zote ndani zitakuwa za ndio

lendila

JF-Expert Member
Sep 26, 2012
5,806
4,370
Kuanzia bajeti ijao kura zote zitakuwa ni kura za ndio,hayo yamesemwa bungeni leo na spika ndugai wakati wa kupiga kura ya ndio au hapana kwenye zowezi la kupitisha bajeti ya mwaka 2017_201718 spika ndugai amesema wale watakao piga kura ya hapana kwenye bajeti ya mwaka 2018_2019 wanaangalia utaratibu wa upigaji kura upya ili kuondoa kura ya hapana bungeni
Ndugai amewaagiza mawaziri na serekali isipeleke pesa kwenye majimbo yote ambayo wabunge wake wamepiga kura ya hapana
 
Hopefully,Mh speaker atakua hayuko OK.Mbona anaongoza bunge kama has never gone to school.Anaongea vitu vya ajabu alafu anavitetea kwa nguvu kweli.Speaker anataka kuwambukiza ujinga mawaziri.
 
Wabunge wameomba muongozo wa spika wakizani spika alikuwa anatania,lkn spika akijibu muongozo wa wabunge spika amesema alikuwa hatanii alikuwa anamanisha kweli,k kuwa wabunge walio piga kura ya hapana mawaziri wasipeleke pesa kwenye majibo yao
 
Mhh!

Ndio maana jana nilisema maneno haya:

People who lived in Tanzania and experienced Tanzania politics,could have many interesting stories to tell people living in outside world, perhaps more than men who have gone into space(space travellers) can have.

Nikaongeza na hii:

We live in country where some people have decide to use their heads as hardware and politics as software(operating system) to control those heads

Sometimes najua baadhi yenu huwa mnanishangaa na hamnielewi ila uzuri muda ndio kila kitu.

Tutaendelea kushuhudia mengi.
 
Kuanzia bajeti ijao kura zote zitakuwa ni kura za ndio,hayo yamesemwa bungeni leo na spika ndugai wakati wa kupiga kura ya ndio au hapana kwenye zowezi la kupitisha bajeti ya mwaka 2017_201718 spika ndugai amesema wale watakao piga kura ya hapana kwenye bajeti ya mwaka 2018_2019 wanaangalia utaratibu wa upigaji kura upya ili kuondoa kura ya hapana bungeni
Ndugai amewaagiza mawaziri na serekali isipeleke pesa kwenye

majimbo yote ambayo wabunge wake wamepiga kura ya hapana
Siamini kama no kweli maneno hayo yamesemwa na spika. na kama ni kwwli basi acha niendelee kuamini kuwa safari yetu bado ni ndefu sana sana
 
Hii ina maana gani lakini kwa DEMOKRASIA ya nchi yetu??Kwanini tupoteze pesa kwa kuwapa wapinzani ruzuku halafu hatuyataki maoni hao???
 
Kuanzia bajeti ijao kura zote zitakuwa ni kura za ndio,hayo yamesemwa bungeni leo na spika ndugai wakati wa kupiga kura ya ndio au hapana kwenye zowezi la kupitisha bajeti ya mwaka 2017_201718 spika ndugai amesema wale watakao piga kura ya hapana kwenye bajeti ya mwaka 2018_2019 wanaangalia utaratibu wa upigaji kura upya ili kuondoa kura ya hapana bungeni
Ndugai amewaagiza mawaziri na serekali isipeleke pesa kwenye majimbo yote ambayo wabunge wake wamepiga kura ya hapana
by the time kura ya bajeti ya mwaka 2018/19 itakapokuwa inapigwa, yeye (Ndugai) atakuwa "ametumwa India kwenye matibabu"!
 
Bajeti isiyoweka mawazo ya Wapinzani halafu bado unalazimishwa kuisemea Ndiyo. Ingekuwa inaweka hata mawazo ya Wapinzani labda.

Ni sawa kama wanadhani itasaidia Maendeleo ya Tanzania kama Taifa wafanye hivyo.

Majimbo ya Kilimanjaro na Arusha jiandaeni.
 
Hakuna spika mwenye akili timamu anayeweza kusema haya maneno... Mlete mada uko sahihi Kweli??? Kama ni Kweli bas maneno nilosema hapo juu yanaweza kuwa vicevesa
 
Wanataka wasipatikane wakulaumiwa mambo yakienda kombo baada ya kupita pale; hili limeonekana baada ya madudu mengi kuwa wanalaumiwa wale wazee wa ndiyooo. Sasa wanataka ifike mahali pasiwepo wa kumnyoshea mwenzie kidole. ' ni mtazamo wangu tu nionavyo mm'.
 
Ndugai anataka kila mtanzania awaze kupitia kichwa chake
 
Back
Top Bottom