Kuanzia 2011 mpaka 2015 tukiuliza haya yatakuwa ni uchochezi?

Mwanamayu

JF-Expert Member
May 7, 2010
11,329
6,447
Hizi ni ahadi alizotoa JK na CCM kwenye kampeni ya mwaka huu 2010. Sasa kama utekelezaji wake ni zero au hafifu au kwa kiwango cha chini na kuwapima 2015 kwa haya je, utakuwa ni uchochezi au chokochoko za kisiasa? Serikali itasema magazeti kama Mwananchi yatakuwa na mtazamo hasi? Na wasi wasi haya ni mambo ya MKUKUTA II.

Dr. Slaa monitoring tool hii hapa kwa ajili ya kuwakumbusha wananchi ili watoe adhabu kwa CCM na mgombea wao mtarajiwa Edward Lowassa hapo 2015.
 

Attachments

  • Promises.docx
    17.9 KB · Views: 104
Watadai ni uchochezi.............maana mpaka sasa sijui kama wanazikumbuka hizo ahadi.
Nina wasiwasi hata sehemu nyingine kama mheshimiwa rais atazitembelea kwa ziara za kiserikali kwa kipindi chake hiki cha mwisho. Watu umewaahidi kuwa utageuza mji wao kuwa kama Dubai then baada ya mwaka hawaoni dalili zozote ataenda kufanya nini!!!
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom