Mwanamayu
JF-Expert Member
- May 7, 2010
- 11,650
- 6,859
Hizi ni ahadi alizotoa JK na CCM kwenye kampeni ya mwaka huu 2010. Sasa kama utekelezaji wake ni zero au hafifu au kwa kiwango cha chini na kuwapima 2015 kwa haya je, utakuwa ni uchochezi au chokochoko za kisiasa? Serikali itasema magazeti kama Mwananchi yatakuwa na mtazamo hasi? Na wasi wasi haya ni mambo ya MKUKUTA II.
Dr. Slaa monitoring tool hii hapa kwa ajili ya kuwakumbusha wananchi ili watoe adhabu kwa CCM na mgombea wao mtarajiwa Edward Lowassa hapo 2015.
Dr. Slaa monitoring tool hii hapa kwa ajili ya kuwakumbusha wananchi ili watoe adhabu kwa CCM na mgombea wao mtarajiwa Edward Lowassa hapo 2015.