KUANZA SHULE KIDATO CHA TANO BAADA YA KUCHELEWA TERM NZIMA INAWEZEKANA?

Retired

JF-Expert Member
Jul 22, 2016
40,174
73,616
Naomba kujua kama naweza kumpeleka mtoto kuanza kidato cha tano shule ya serikali. Alishinda lakini kwa sababu zilizo nje ya uwezo wangu sikuweza kumpeleka. Naweza kumpeleka sasa?
 
Jaribu kuwasiliana na shule husika kujua kama nafasi yake bado ipo ama laa, kama nafasi bado ipo mpeleke kijana na awe tayari kupambana kweli ili kufidia wenzake walichokwisha kukisoma
 
Hiyo Ni vigumu nadhani hata second selection ilishafanyika, cha muhimu nenda private school unaweza kufanyiwa namna huko
 
itakuwa ulimpeleka chuo ila unataka kubadili gia angani ...anyway poleee
 
Itatokana na sababu zako Kama zina msingi mkuu atakuelewa. Jaribu kwenda kuongea. Pamoja kuwa muda umepita ila mkuu wa shule ni binadamu anaweza kukusaidia Akampa nafasi
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom