Mungu bariki huu utawala!
Wanakupita kama hawakuoni vileKumbe na TPA mmo kwenye media isokuwa na .co.tz
Wao wenyewe hawatumii .co.tzKumbe na TPA mmo kwenye media isokuwa na .co.tz
Mkuu wenye malori wataendelea kupiga kazi tu kwa sababu hiyo reli ya kati kipindi cha mvua yaani maeneo ya kilosa haipitiki. Then ina majanga sana huko mbele mimi nilisafiri na train ya abiria ile deluxe wenyewe ndio wanaiita express lakini tulitumia siku tatu kufuka Dar ilibidi tufaulishwe kwenye mabasi.poleni wenye malori
kwa maana hiyo zile kampuni pendwa za malori dili zao bado hazijakauka kwa hivo vigezo......Mkuu wenye malori wataendelea kupiga kazi tu kwa sababu hiyo reli ya kati kipindi cha mvua yaani maeneo ya kilosa haipitiki. Then ina majanga sana huko mbele mimi nilisafiri na train ya abiria ile deluxe wenyewe ndio wanaiita express lakini tulitumia siku tatu kufuka Dar ilibidi tufaulishwe kwenye mabasi.
Hivyo kwa hao wateja wenye hizo kasha/kontena zao wawe wavumilivu tu kwa sababu hizo ratiba zao hazipo specific kama wanavyopromote.
All in all tunawaomba wafanye construction ya kutosha kwenye hiyo reli ya kati ili tusirudi nyuma kwenye hizi juhudi za kuboresha huduma za reli.
Kazi zipo pale pale ili TRL waweze kufanya kazi kwa ufanisi watengeze miundombinu ya reli ya kati kwa ufanisi. Lakini kwa hii iliyopo sasa hivi wataondoka na container mbili hapa bure.Maana hawa wateja wetu wanataka mizigo yao ifike kwa wakati.kwa maana hiyo zile kampuni pendwa za malori dili zao bado hazijakauka kwa hivo vigezo......
ni kweli icho unachosema ila pesa ya mkopo kutoka china exim bank 16 billion dollars bado hazijafika ama maana mradi unatakiwa uanze mwakani......Kazi zipo pale pale ili TRL waweze kufanya kazi kwa ufanisi watengeze miundombinu ya reli ya kati kwa ufanisi. Lakini kwa hii iliyopo sasa hivi wataondoka na container mbili hapa bure.Maana hawa wateja wetu wanataka mizigo yao ifike kwa wakati.
Huo udadisi wenu ndio unasababisha watu watake kuifungia Jamiiforum.com so kuwa mpole tu wakiamua watafanya bila kuambiwa. Watu hawapendi kukumbushwa wala kukosolewa .ni kweli icho unachosema ila pesa ya mkopo kutoka china exim bank 16 billion dollars bado hazijafika ama maana mradi unatakiwa uanze mwakani......
Ha ha ha ha haa waangalie wasishikwe na kutumbuliwaKumbe na TPA mmo kwenye media isokuwa na .co.tz
jf itadumu milele mwisho wa kunukuu.....Huo udadisi wenu ndio unasababisha watu watake kuifungia Jamiiforum.com so kuwa mpole tu wakiamua watafanya bila kuambiwa. Watu hawapendi kukumbushwa wala kukosolewa .