Kuangusha kombora moja la Hamas kunaigharimu israel dola 80,000

eliakeem

eliakeem

JF-Expert Member
Joined
May 29, 2009
Messages
7,439
Points
2,000
eliakeem

eliakeem

JF-Expert Member
Joined May 29, 2009
7,439 2,000
Nyie ndiyo mnaowaita wateure na kuwatukuza.
Dunia yote inalijua hili kuwa hao akina netanyau sio wayaudi halisi.
Mbona hueleweki, nyie na nani wanawaita wateule??
 
ielewemitaa

ielewemitaa

JF-Expert Member
Joined
Jan 7, 2014
Messages
393
Points
500
ielewemitaa

ielewemitaa

JF-Expert Member
Joined Jan 7, 2014
393 500
Mungu alijua kuwa angeweza kumfufua. Shida iko kwa wale ambao hadi leo wanamsubiri mesiya wao. Yule waliyemuua hawamtambui.
Sasa unawalalamikia nini waisrael walipomuua ? waisrael wameondoa threat wamefanya kazi yao, Na huyo Mungu aliemfufua nae kafanya kazi yake, hivyo kila mtu afanye kazi yake, shida iko kwako wewe unawalazimisha waisrael waamini unachokiamini
 
mikedean

mikedean

JF-Expert Member
Joined
Mar 15, 2018
Messages
1,053
Points
2,000
mikedean

mikedean

JF-Expert Member
Joined Mar 15, 2018
1,053 2,000
Waisraeli hawawezi baki salama milele. Kumkana Mesiya na kumuua na kutaka kufuta kabisa historia yake na nguvu na miujiza aliyofanya. Hilo hawa jamaa watateseka tu miaka yote. Mungu hawezi kunyamazia hilo la kumkana yule aliyemtuma ambaye ni njia, kweli na uzima.
acha kupotosha.Walimu wa uongo kama watapata adhabu kubwa zaidi ya wengine
 
mbalaka

mbalaka

JF-Expert Member
Joined
Oct 7, 2017
Messages
597
Points
1,000
mbalaka

mbalaka

JF-Expert Member
Joined Oct 7, 2017
597 1,000
Mbona hueleweki, nyie na nani wanawaita wateule??
Sieleweki nini?.

Nionyeshe ni wapi ambapo hujaelewa nikufafanuliae.

Kwaninj tatzo la kueleweka liwe langu na sio wewe kwamba una kichwa kigumu cha kuelewa?.

Onyesha ambapo hujaelewa nikufafanulie kwa kadiri nikijuacho.
 
eliakeem

eliakeem

JF-Expert Member
Joined
May 29, 2009
Messages
7,439
Points
2,000
eliakeem

eliakeem

JF-Expert Member
Joined May 29, 2009
7,439 2,000
Sieleweki nini?.

Nionyeshe ni wapi ambapo hujaelewa nikufafanuliae.

Kwaninj tatzo la kueleweka liwe langu na sio wewe kwamba una kichwa kigumu cha kuelewa?.

Onyesha ambapo hujaelewa nikufafanulie kwa kadiri nikijuacho.
Ahaaa haaa haaa
Nyie na nani mnawaita wateule?
 
mbalaka

mbalaka

JF-Expert Member
Joined
Oct 7, 2017
Messages
597
Points
1,000
mbalaka

mbalaka

JF-Expert Member
Joined Oct 7, 2017
597 1,000
Ahaaa haaa haaa
Nyie na nani mnawaita wateule?
Nyie na nani nini?.

Umekielewa vyema ulichokiandika hapa?.

Nilikuambia nionyeshe ni wapi sieleweki nikufafanuliae kwa kadri nijuavyo, hujafanya hivyo, umeshakimbila kusema" nyie na nani".

Mjadala ni nyie na nani?.

Nyie na nani katika Muktadha hupi?.

Wewe dogo...
 
eliakeem

eliakeem

JF-Expert Member
Joined
May 29, 2009
Messages
7,439
Points
2,000
eliakeem

eliakeem

JF-Expert Member
Joined May 29, 2009
7,439 2,000
Nyie na nani nini?.

Umekielewa vyema ulichokiandika hapa?.

Nilikuambia nionyeshe ni wapi sieleweki nikufafanuliae kwa kadri nijuavyo, hujafanya hivyo, umeshakimbila kusema" nyie na nani".

Mjadala ni nyie na nani?.

Nyie na nani katika Muktadha hupi?.

Wewe dogo...
Ahaaa haaa haaa
Huu ni mjadala usiyo na tija kwangu.
 
ArIeN

ArIeN

JF-Expert Member
Joined
Aug 29, 2017
Messages
7,525
Points
2,000
ArIeN

ArIeN

JF-Expert Member
Joined Aug 29, 2017
7,525 2,000
Marekani atalipa hizo gharama sio ishu
 
Echolima

Echolima

JF-Expert Member
Joined
Oct 28, 2007
Messages
3,333
Points
2,000
Echolima

Echolima

JF-Expert Member
Joined Oct 28, 2007
3,333 2,000
Kuangusha kombora moja la wa- Palestina, kunaigharimu Israel Dola elfu 80
Mei 07, 2019 13:55 UTC
Gazeti la utawala wa Israel Hayom limeandika kwamba, utawala huo hauwezi kumudu gharama kubwa ya Kuongoza na kuangusha kila kombora linalovurumishwa kutoka Ukanda wa Gaza.

Kwa mujibu wa gazeti hilo, kuongoza na kuangusha kombora moja kwa kutumia ngao ya makombora ya utawala huo inayoitwa 'Kuba la Chuma' (iron dome) kwenye operesheni zake za kiulinzi kunagharimu kiasi cha Dola elfu 80.

Aidha limeongeza kwamba utumiaji wa ngao nyingine ya makombora inayoitwa 'David's Sling' una gharama mara dufu katika kukabiliana na makombora yanayovurumishwa na Hamas wa Palestina kuelekea miji ya Israel. Kwa mujibu wa gazeti la Israel Hayom, gharama ya kuzuia na kuangusha kombora moja, ni zaidi ya Dola milioni mbili kwa kutumia ngao hiyo ya David's Sling.

Itakumbukwa kufuatia kufeli ngao ya makombora ya 'Kuba la Chuma' mwaka jana utawala wa israel ulizindua ngao nyingine inayoitwa David's Sling.

Gazeti hilo limekiri kwamba kitendo cha Wapalestina kutumia makombora ya gharama nyepesi inawawea rahisi wanapalestina kuunda haraka makombora hayo.

Aidha limeongeza kuwa, suala la wapiganaji wa Gaza kuwa na akiba kubwa ya makombora, linawafanya waweze kuingia katika vita vya muda mrefu na Israel bila kuhitaji kuunda makombora mapya.

Jumatatu ya jana kanali ya 12 ya televisheni ya utawala wa israel ilikiri kufeli ngao ya makombora ya israel ya 'Kuba la Chuma' (iron dome) mbele ya mashambulizi ya Wapalestina na kuongeza kwamba katika mapigano ya hivi karibuni jumla ya makombora 650 yalivurumishwa kutoka Gaza kwenda miji ya utawala huo na kwamba ngao hiyo iliweza kuzuia makombora 170 pekee.

My take:Israel inazidi kupata hasira tu ndo maana siku hizi waisrael wana umasikini wa kutisha daaahView attachment 1093706
Ukiwa na akili ndogo basi ni mzigo kwa taifa.Kipindi cha vita vya kagera 1978 kombora moja la BM-40 lilikuwa linauzwa Million 80 kwa kipindi hicho waalimu wote wa shule za msingi wanalipwa nchi nzima lakini hatusimamisha vita sababu ya kununua Kombola moja kwa bei juu kiasi hizo,Dhamani ya nchi ni kubwa kuliko Gharama ya makombola idadi yoyote ile!!!!
 
C

calchooper

JF-Expert Member
Joined
Dec 27, 2018
Messages
339
Points
250
C

calchooper

JF-Expert Member
Joined Dec 27, 2018
339 250
Waisraeli hawawezi baki salama milele. Kumkana Mesiya na kumuua na kutaka kufuta kabisa historia yake na nguvu na miujiza aliyofanya. Hilo hawa jamaa watateseka tu miaka yote. Mungu hawezi kunyamazia hilo la kumkana yule aliyemtuma ambaye ni njia, kweli na uzima.
Kwa hiyo unamshawishi MUNGU au la?
MUNGU si kigeugeu kasema ISRAEL itabaki hivyo, hayo mengine wanajua wewe
 
GUSSIE

GUSSIE

JF-Expert Member
Joined
Dec 2, 2014
Messages
2,387
Points
2,000
GUSSIE

GUSSIE

JF-Expert Member
Joined Dec 2, 2014
2,387 2,000
Kuangusha kombora moja la wa- Palestina, kunaigharimu Israel Dola elfu 80
Mei 07, 2019 13:55 UTC
Gazeti la utawala wa Israel Hayom limeandika kwamba, utawala huo hauwezi kumudu gharama kubwa ya Kuongoza na kuangusha kila kombora linalovurumishwa kutoka Ukanda wa Gaza.

Kwa mujibu wa gazeti hilo, kuongoza na kuangusha kombora moja kwa kutumia ngao ya makombora ya utawala huo inayoitwa 'Kuba la Chuma' (iron dome) kwenye operesheni zake za kiulinzi kunagharimu kiasi cha Dola elfu 80.

Aidha limeongeza kwamba utumiaji wa ngao nyingine ya makombora inayoitwa 'David's Sling' una gharama mara dufu katika kukabiliana na makombora yanayovurumishwa na Hamas wa Palestina kuelekea miji ya Israel. Kwa mujibu wa gazeti la Israel Hayom, gharama ya kuzuia na kuangusha kombora moja, ni zaidi ya Dola milioni mbili kwa kutumia ngao hiyo ya David's Sling.

Itakumbukwa kufuatia kufeli ngao ya makombora ya 'Kuba la Chuma' mwaka jana utawala wa israel ulizindua ngao nyingine inayoitwa David's Sling.

Gazeti hilo limekiri kwamba kitendo cha Wapalestina kutumia makombora ya gharama nyepesi inawawea rahisi wanapalestina kuunda haraka makombora hayo.

Aidha limeongeza kuwa, suala la wapiganaji wa Gaza kuwa na akiba kubwa ya makombora, linawafanya waweze kuingia katika vita vya muda mrefu na Israel bila kuhitaji kuunda makombora mapya.

Jumatatu ya jana kanali ya 12 ya televisheni ya utawala wa israel ilikiri kufeli ngao ya makombora ya israel ya 'Kuba la Chuma' (iron dome) mbele ya mashambulizi ya Wapalestina na kuongeza kwamba katika mapigano ya hivi karibuni jumla ya makombora 650 yalivurumishwa kutoka Gaza kwenda miji ya utawala huo na kwamba ngao hiyo iliweza kuzuia makombora 170 pekee.

My take:Israel inazidi kupata hasira tu ndo maana siku hizi waisrael wana umasikini wa kutisha daaahView attachment 1093706
Kaka Tafuta pesa, nakushauri tu

Tafuta pesa kiongozi utaumbuka mbeleni

Kaka wekeza kwenye Familia haya mambo yapo toka karne ya kwanza Leo ni 21
 
kimsboy

kimsboy

JF-Expert Member
Joined
Oct 17, 2016
Messages
4,101
Points
2,000
Age
34
kimsboy

kimsboy

JF-Expert Member
Joined Oct 17, 2016
4,101 2,000
Kaka Tafuta pesa, nakushauri tu

Tafuta pesa kiongozi utaumbuka mbeleni

Kaka wekeza kwenye Familia haya mambo yapo toka karne ya kwanza Leo ni 21
Are you gone mad???hii mada na hicho unachonishauri wapi na wapi??

Nitafute pesa mara mbili chali ara?
 
N

Nyanjomigire

JF-Expert Member
Joined
Jan 28, 2013
Messages
3,567
Points
2,000
Age
55
N

Nyanjomigire

JF-Expert Member
Joined Jan 28, 2013
3,567 2,000
Nyie ndiyo mnaowaita wateure na kuwatukuza.
Dunia yote inalijua hili kuwa hao akina netanyau sio wayaudi halisi.
Dunia nzima! Mbona sisi wengine hatujui hivyo. Wayahudi halisi wako wapi.
 
N

Nyanjomigire

JF-Expert Member
Joined
Jan 28, 2013
Messages
3,567
Points
2,000
Age
55
N

Nyanjomigire

JF-Expert Member
Joined Jan 28, 2013
3,567 2,000
Tatizo watu hamsomi. Someni vizuri maandiko Hesabu 33:35
 
Forum statistics

Threads 1,296,485
Members 498,655
Posts 31,249,869
Top