Kuanguka Kwa Rostam Aziz; Tafsiri Yangu

In this country, if you work very hard and bust your as.s off and eventually become very successful then you become a fisadi in the eyes of the people. This legacy of mwalimu's socialism is a poison to the minds of millions of Tanzanians.

Rostam is not a hard worker, but I do not blame him for whatever ufisadi he may have committed against the interest of the united republic of tanzania, because he has never held any position of authority. He was just a Mbunge wa Igunga just like any other Mbunge, and a CCM stalwart just like any other CCM stalwart. However, Rostam is an excellent businessman who used every loophole in the system to easily make a hefty fortune, not by working hard. He joined politics for that purpose and it paid heavily, because he rose from obscurity immediately after getting a seat in the Mjengo in 1994 by grabbing many government contracts without competing, and yet nobody questioned him though he never delivered. Being a CCM stalwart, he was invited into the 2005 CCM election ring, and clearly he took that responsibility not as a politician but rather as a businessman; the rest is history!!
 
Thank you for that explanation regarding the rise of Rostam. My question is: If that's the case then do we have to put all the blame on him or do we have to hold accountable those within the system/party that helped him to do what he had to do?, Why Don't we also blame the Igunga residents who voted for him to power?
 
Jana wadanganyika wengi walitoa vicheko pale mmoja kati ya mafisadi mahiri alipoamua kujiuzulu nyadhifa zote alizonazo.

Kama ilivyo kawaida ya wadanganyika, kujiuzulu kwa Rostam Aziz kulihesabiwa kama ni 'ushindi" mkubwa dhidi ya mafisadi. Ila mimi najiuliza, ni lini wadanganyika watajifunza kuona vinavyofichwa machoni pao? Ni hivi, Rostam Aziz ni FISADI hilo halina swali. Ila najiuliza swali, hivi kweli Rostam Aziz angeweza kuwa GAMBA bila MAGAMBAZI? Hivi wadanganyika wanafikiri akilini mwao kwamba Rostam aliishi kama mzimu unaofisadi bila kuwa na anaokula nao? Rostam huyu amabye independent report ya waingereza iliyotoka hivi karibuni inamuita KING maker. Ali-make nani kuwa kiongozi kama sio hao wanaosema ajivue gamba?

Kama CCM inaamini Rostam ni gamba, si sahihi kwamba wanatakiwa kurudisha na pesa alizowapa ili kumfanyia kampeni rais kikwete na wabunge wengi wa CCM? Anawezaje Rostam kuwa gamba halafu pesa zake ziwe halali kutumiwa na CCM? Au nikibadili swali kidogo, Rostam angewezaje kuiba pasipo msaada wa wale walioko madarakani leo? Nasema kama Rostam ni gamba na ndivyo alivyo, basi CCM iliyokula nae pesa za kifisadi ni gamba pia.

Kwa mantiki hii hakuna sababu ya watanzania kuchekelea 'kung'atuka' kwa ostam Aziz maana bado malaki ya mafisadi wanaovaa nguo za kijani na njano bado wanadunda mitaani. Katika hili, si Kikwete, wala wale wanaojiita wapiganaji wa ufisadi kama Samuel Suitta wanaopona. Wote ni mafisadi na watanzania wanatakiwa kuwa-treat as such. Narudia tena Gamba linawezaje kuwa GAMBA pasipo MAGAMBAZI?

Tafakari!!!
 
"It's a pity that in Tanzania, if you work really hard, bust your as.ss off and shake your tail, persevere and eventually become very successful then you are a fisadi in the eyes of the millions of wananchi. Nyerere's ghosts and legacy of socialism still do seem to poison the brains of my fellow Tanzanians.
It's ok for a rich or even a bogus foreign investor to come and loot this country, but when a local businessman work hard and succeed he's seen as a fisadi!! ha ha ha " Raj Patel Jr.

Ndugu Patel Jr., do not underestimate reasoning ability of Tanzanians who, unfortunately, have been turned into walalahoi. They're clever enough to distinguish between a businessman who is working hard and become successful (and, of course, respect him) vs. a fisadi 'businessman'. Just a simple example, why we have never heard people calling Bw. Mengi fisadi? Is he not one of successful local business people?
 
Thank you for your response.
What I'd like to know is nothing but the truth. If there's any concrete evidence to connect Mr Rostam with all these allegations, then let it be in the open. What I want is the truth and transparency.
 
Thank you for your response.What I'd like to know is nothing but the truth. If there's any concrete evidence to connect Mr Rostam with all these allegations, then let it be in the open. What I want is the truth and transparency.
Do you think this will happen while CCM is in power? I don't think so, because they know people like Chenge & Rostam have many within CCM in their backyards.
 
Do you think this will happen while CCM is in power? I don't think so, because they know people like Chenge & Rostam have many within CCM in their backyards.
If that's the case, then what's the point of Rostam's resignation?
 
kulikuwa na luluki la threads za Rostam humu....na uzuri zimeunganishwa lakini kuna kama 3 hivi zimeachwa au hao waliozianzisha ni muhimu zaidi kuliko memba wengine?
 
Siku chache baada ya Rostam Azizi kuachia ngazi,wengine watafuwatia. Ila kwa maadili siwataji. Baada ya Rostam kujiuzulu, nilazima watanzania watambue kuwa sasa kinachofuwata ni kuwasimamisha mahakamani,kuhukumiwa nakufilisiwa mali zote zakifisadi,kurudisha mali ya watanzania. Niwale wasio fahamu na wale wameonja utamu wao wa kifisadi hawataki kuelewa na ndio maana kuwasimamisha mahakaman nakuweka azarani yote maovu yake. Ili hukumu ipite. Kile anajisifia ni pesa za wizi. Rostam na wenzake next kizimbani! That is what i perspect maana huwez kumshitaki mbunge so kwanza vnawavuwa magamba then tunawachoma moto. Thx God hukumu inaenda kupita. Vision!
 
Ndugu zangu,
Habari kubwa imetufikia; Rostam Aziz kaachia ngazi CCM. Ni habari kubwa. Wengine wanasema, kuwa Rostam amejivua gamba. Kuna wanaodai, kuwa ni CCM ndio iliyojivua gamba. Ni misamiati tu, isikuumize kichwa.

Nimesoma hotuba ya Rostam akiongea na ’ Wazee wa Igunga’. Imekuwa utamaduni, kama wa enzizile za Mwalimu. Kwenye jambo zito, Mwalimu aliongea na ’ Wazee wa Dar es Salaam’. Sio ndio waliomkaribisha mjini.

Kuna akina sisi tulio tofauti na wale wanaodhani wanajua. Sie tunajitahidi kujua. Na hapa ni tafsiri yangu ya kuachia ngazi kwa Rostam Aziz. Kwangu mie ilikuwa ni suala la wakati tu; kuwa Rostam hakuwa na njia ya kutokea zaidi ya kukubali ’ kujiporomosha’ mwenyewe kutoka kwenye ngazi. Ndio, ni heri anayeshuka kwenye ngazi kuliko anayeachia ngazi na kuporomoka. Kushuka kwenye ngazi kunaashiria taratibu. Kuna upepo mgumu unavuma ndani ya CCM. Na upepo mwingine huangusha miti mikubwa.

Na Rostam huyu alikuwa ni sehemu ya ’ mapacha watatu’ kama wanavyojulikana sasa; Rostam , Andrew na Edward. Kuna wanaoanza kuhesabu siku kabla kusikia habari nyingine kubwa; kuwa Edward naye ’ kajiporomosha’ kutoka kwenye ngazi za CCM, kisha afutie Andrew. Yote hayo yanawezekana, lakini, kila inapoisha arobasitini moja , karata huchangwa upya. Hapo huanza arobasiti mpya. Siasa yaweza kuwa kama mchezo wa arobasitini! Na mazingira ya Rostam wa Unyamwezini Igunga yaweza kuwa tofauti na ya Andrew wa Usukumani na Edward wa Umasaini. Burudani ya siasa inaendelea!

Na Watanzania tu mabingwa wa siasa za matukio. Leo ni Rostam. Baada ya wiki moja Rostam si habari tena. Tunasubiri nyingine, labda itakuja ya Edward na baadae Andrew. Na ’ mapacha watatu’ wakishamalizika? Stay tuned; Kuna mpya nyingine itakuja.

Na Rostam pale Igunga kwa wazee wake amezungumzia ’ Afya ya siasa’ ya nchi. Hakusema kama ni njema au la. Katikati ya mistari kuna tulioelewa alichotaka kusema Rostam. Tena Rostam huyu ambaye kuna wakati iliaminika ndiye yuko nyuma ya ’ mikakati’ ya ndani ya Chama chake.

Leo kaacha kila wadhifa ndani ya Chama. Lakini usisahau, kuwa Rostam amebaki na ’ hirizi’ mfukoni. Ni kadi ya chama. Mjinga ni yule anayemwondoa Rostam mwenye ’ hirizi’ ya Chama kwenye ’ hesabu’ za mikakati ya CCM.

Na si amesema mwenyewe; kuwa haikuwa kazi rahisi kwao kuifanya Tabora ambayo ni kitovu cha upinzani kuwa mkoa ambao majimbo yote yanayoongozwa na CCM. Je, Rostam ’ anatishia nyau’ au kuna mtaji anawekeza kwenye ’ nyumba ’ya mchezo wa bao? Na tusubiri tuone.

Na hii afya ya siasa anayoizungumzia Rostam? Sijui yeye katumia vipimo vya kliniki gani. Mie nitapiga mbizi na kuzama zaidi majini. Na hapa unisome kwa makini . Ndio, kama nchi Watanzania ni kama wagonjwa tunaotafuta tiba. Na tumekuwa ni watu wa kubahatisha tiba kila kukicha. Hata kukimbilia abrakadabra ya kikombe cha ’ Babu wa Lolilondo’ ni kielelezo cha maradhi yetu na kuhangaika kwetu.

Mgonjwa hukosa faraja na huzidi kuwa na mashaka pale daktari anaposhindwa kufanya diagnos ya ugonjwa husika na kujua ni nini hasa chanzo cha maradhi. Kisha daktari anajaribu kumpa mgonjwa dawa akitumaini tu kuwa huenda ikamsadia. Lakini, mgonjwa hupata faraja na huingiwa matumaini ya kupona pale anapofanyiwa diagnos na daktari anapomtamkia mgonjwa chanzo cha maradhi ya kinachomsibu na dawa anayotakiwa kutumia ili apone.Na ndio sisi Watanzania; tu wagonjwa tunaofanyiwa majaribio ya dawa ya kutuponesha maradhi yetu bila haswa daktari kujua chanzo cha maradhi yetu.

Nimeandika majuzi tu kwenye Raia Mwema; kuwa Watanzania tunapaswa sasa kuvunja ukimya na kuzungumzia mema na mabaya yaliyopita ili yatusaidie kujenga misingi imara ya taifa letu hata kwa miaka 50 ijayo. Tuna wajibu wa kizalendo wa kutoa ushahidi wetu kwa kusimulia tuliyoyapitia ili waliopo na wajao waweze kuyachukua mema na kutorudia makosa yaliyofanyika nyuma.

Maana, kuna tulioshuhudia Tanzania iliyokuwa na ustawi na dalili za kuendelea kustawi. Tumeshuhudia pia ni kwa jinsi gani wingu hilo la matumaini lilivyokuwa likipotea kwa kasi ya kutisha na kupisha jua kali lililoleta ukame wa kisiasa na kiuchumi katika nchi yetu.

Na msingi wa haya yote ni ubaguzi wa kisiasa na kutoruhusu mazingira ya uwepo wa fikra mbadala. Kuwachukia wenye ’ akili’ na walio tayari kuzitumia akili zao kwa manufaa ya nchi yao. Hivyo basi, watu hao hutengwa na mfumo wa uongozi wa kisiasa uliopo.

Na huo ndio msingi wa uwepo w a hoja ya ubaguzi wa kisiasa. Na dhambi hii ya ubaguzi wa kisiasa ndilo gamba gumu la kitaifa tunalopaswa kulivua. Maana, ndio hali yenye kusababisha maradhi yetu mengi kama taifa ikiwamo ufisadi uliotamalaki.
Maggid,
Knivsta, Sweden
http://mjengwa.blogspot.com
0736 966032

Sijui kwanini unashindwa kusema unacho kiamini, au unasomeshwa na Rostam?
 
In this country, if you work very hard and bust your as.s off and eventually become very successful then you become a fisadi in the eyes of the people. This legacy of mwalimu's socialism is a poison to the minds of millions of Tanzanians.
because you ar living european life in an AFRICAN LAND YOU DIDNT TASTE THE PITFUL LIFE OF THS Country I UNDERMINE YOU
 
Wee ponjoro kee quite......u people you are so racicst and bustard
In this country, if you work very hard and bust your as.s off and eventually become very successful then you become a fisadi in the eyes of the people. This legacy of mwalimu's socialism is a poison to the minds of millions of Tanzanians.
 
ngoja niwaambie!! Mtu akiongea kwa hasira toka moyoni,ujue kaongea ukweli toka moyoni...''CCM ina siasa za uchwara na za Hovyo''...haya maneno ni mazito sana!!

Lakin tujiulize kama hizi siasa zipo ndani ya CCM, kwanini hataki kurudisha kaddi ya Chama??
Huyu bwana RA ana mambo mengi sana yaliyofichika kuhusu CCM, ngoja time will tell...
 
Thank you for that explanation regarding the rise of Rostam. My question is: If that's the case then do we have to put all the blame on him or do we have to hold accountable those within the system/party that helped him to do what he had to do?, Why Don't we also blame the Igunga residents who voted for him to power?

He is the worst side of Robin Hood....stealing from the poor(Tanzanians) and giving to the poor(Igunganians)....thats why they kept on voting for him and nothing else....we know what he was worth before 1994 and how he is worth now....an anthill and a mountain if you wil!
 
Rostam hajaanguka, it is a behind the scene story, I believe the man is stil active and influencial person to Magamba. Anajipanga safu yakd as i know he is angry,he wil be a silent killer to his opponents!
 
Nimeufatilia mkutano wa Rostam Aziz akitangaza kuachia ngazi kupitia kipindi cha Usiku wa Habari TBC na Baragumu, Chanel ten na kuona baadhi ya watu wakiangua kilio kizito na machozi kuwatoka, wengine hata kuzimia. Hivi wale watu walikuwa "genuine" au ni usanii. Imenibidi nijiulize hivyo kufuatana na mazingira ya mkutano ule. Inaonekana haukuwa mkutano wa hadhara bali wa ndani. Sijui waalikwa katika mkutano huo walipatikana kwa vigezo vipi, isije ikawa waliandaliwa kufanya usanii wa kulia na kuzimia ili kutimiza malengo fulani ya kisiasa.
 
Kweli JF tumevamiwa, hivi hii habari nayo ni ya kuleta kwa great thinkers ? Ww si mmoja wao 4 sure !
 
Back
Top Bottom