Kuanguka kwa JK;Daktari wake anastahili lawama! | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Kuanguka kwa JK;Daktari wake anastahili lawama!

Discussion in 'JF Doctor' started by Kizimkazimkuu, Aug 27, 2010.

 1. Kizimkazimkuu

  Kizimkazimkuu JF-Expert Member

  #1
  Aug 27, 2010
  Joined: Nov 8, 2007
  Messages: 336
  Likes Received: 51
  Trophy Points: 45
  Ndio, nafikiri Dr. Mfisi na mwenzie Dr.Janabi hawawezi kujitenga na lawama kufuatia kadhia ya kuanguka kwa JK jangwani. Maelezo kuwa pressure ilishuka na Sukari ilipungua ni maelezo ambayo hayakubaliki na yanaashiri uzembe wa hali ya juu.kama wanachotueleza ni ukweli (binafsi siamini) dk. wa rais alijua ratiba ya rais na uzito wa shughuli atakayoifanya,kama wataalamu walipaswa ku anticipate tukio la namna ile na kuchukua tahadhari na kumshauri rais asifunge. daktari mzuri huzingatia sana past medical history ya mteja wake (walisahau kuwa JK aliwahi kuanguka Jangwani akiwa amefunga?)...nafikiri wataalam wa afya wajitokeze na kutoa maoni yao kuhusu tukio hili. Binafsi sioni ubaya wowote kujadili suala la afya ya kiongozi wa juu kabisa wa nchi hii kwa sababu kwa nafasi yake, hakuna jambo linalomhusu ambalo linapaswa kuwa siri has kama lina athiri ufanisi wa kazi yake kama rais.
   

  Attached Files:

 2. Utingo

  Utingo JF-Expert Member

  #2
  Aug 27, 2010
  Joined: Dec 15, 2009
  Messages: 7,121
  Likes Received: 185
  Trophy Points: 160
  Mkuu kabla ya yote please eleza ufanisi alionao ili wadau wachangie mada maana wengi wanadhani hata akianguka ni sawa tu wanadai kuwa ni laana kutokana na vilio vya watanzani kuhusu maisha magumu na kukumbatia mafisadi (ambao ndio kwa hakika wanainfluence kila kitu-uchumi, sera, siasa etc.) na JK wala hajali!
   
Loading...