Kuangalia picha za ngono ukiwa pamoja na mpenzi wako ni sawa?

Sio sawa kabisa coz waweza mfanyia yanayoendana na yale ukawa kama umedesa! Huweza pata credits kwa mpenzi wako!
 
ikiwa upo kwenye ile hali ya adolescence naweza sema bado unashauku ya kujua mambo mengi na kujaribu jaribu. Lakini otherwise prolonged watching of porn ina psychological impact kubwa, a lady anaweza kuanza kuona sex ni kinyaa na ni demanding sana as if mpo kwenye olympic akapoteza interest. Pia mnaweza kuishia kuona ni kitu ambacho mmekizoea sana hivyo kutokuwa na haja ya kufanya hii ni very automatic. Usisahau pia expectation mtakazokuwa nazo baada ya kuangalia, halafu unajikuta hau-meet hizo expectation au ur other ha-respond kama mlivyoona kwenye video.
Automatically mnaanza kuji-underrate each other....ushauri angalia vpande vidogo tu ambavyo ni erotic scene kwenye movie za kawaida.
 
Dada picha za ngono niupuuzi mtupu na niuptoshaji wa maadili na utamaduni. pili kwamtu mwenye akili timam kutizama ngono na umpendae nikuwa hamheshimiani hapo hakuna mapenzi mnapoteza wakati na kama kupata msukumo wa mapenzi inamana ninyi mnakasoro flani kama hampatiham ya kufanya mapenzi bila kutizama filam za ngono. napia mdhara yake je mpenzi akikuomba mfanye kama mlivyoona kwenye filam utakuwa tayari. acheni ubuuzi huoo msishaushike kwenye upuuzi
kwasababu nasikia ukiangalia picha za ngono na mpz wako kuna vitu vina wahamasisha kuvifanya.je ni kweli?
 
Kama msela sio hanisi basi ujue ni lazima atumie kila mbinu walau atupie hata kimoko! coz zimewekwa kwa ajili ya wawili ilii kuongeza mautundu na hamasa ili msizoee stail moja na mkachokana upesi. Kama hujaamua kuingia katika mahusiano rasmi ni vema ukaepuka kuziangalia labda uangalie peke yako kama tuition yako ya future ila jamaa akiwepo tu pembeni ujue ushaliwa wewe.
 
mapenzi ni kufurahishana, kama utaangalia picha na mwenzako ukapata kipya nae akakipenda poa tu, siyo ulele kila namna pasipokujua inatoka wapi.
 
Back
Top Bottom