Kuangalia picha za ngono ukiwa pamoja na mpenzi wako ni sawa?

twenty2

JF-Expert Member
May 20, 2011
296
32
kwasababu nasikia ukiangalia picha za ngono na mpz wako kuna vitu vina wahamasisha kuvifanya.je ni kweli?
 
Kichwa cha topic na maelezo ni tofauti,sijui nichangie kipi!
 
kwasababu nasikia ukiangalia picha za ngono na mpz wako kuna vitu vina wahamasisha kuvifanya.je ni kweli?
ukiwa na mpenzi utahamasika tu bila hata picha ya ngono, labda huyo asiwe mpenzi kama ulivyo taja.
 
Wewe ulitaka uangalie peke yako halafu ujichue? Hizo picha ni za kuangalia pamoja na kujadili hizo staili ipi ambayo inawafaa. Mimi nilianza zama chumvini baada ya kuziangalia na la aziz wangu na toka hapo hadi leo nisipotua uvinza hakuna amani ndani ya nyumba.
 
check na shoga au bwabwa au punga kama unahofu na mpenzio mpumbavu mkubwa weye kwani kwenye picha hizo kipi kipya kama sio ''U N G E S E''unakusumbua tu!
 
nakushaur uache huo ujinga, maana kuna uwezekano mwenzi wako akakudharau kama hupig game la ukwee kama hao jama wa kwene video, na ikamdiscourage kufanya tendo hilo. izo video nyingine ni edited na nyingine wamekula dawa kwanza then wanafanya. nakushaur kama unataka madowido usome documents hata hapa jf zipo ukiperuz utazipata. cheerz..!
 
EEEEH nimeingia choo cha kiume........kumbe ni thread ya WATOTO hii LOL!!
 
Wewe ulitaka uangalie peke yako halafu ujichue? Hizo picha ni za kuangalia pamoja na kujadili hizo staili ipi ambayo inawafaa. Mimi nilianza zama chumvini baada ya kuziangalia na la aziz wangu na toka hapo hadi leo nisipotua uvinza hakuna amani ndani ya nyumba.
Uvinza sio ?! Utakujanyonya na blood ya mwezini, shauri yako !
 
kwasababu nasikia ukiangalia picha za ngono na mpz wako kuna vitu vina wahamasisha kuvifanya.je ni kweli?
angalia naye tu ili waakapoanza kutumia ule mtandao maarufu wa tigo, na yeye atahamasika kujiunga nao. utatoa??
 
kwasababu nasikia ukiangalia picha za ngono na mpz wako kuna vitu vina wahamasisha kuvifanya.je ni kweli?

Cha muhimu ni kujiuliza mkifanya hivyo intention yenu ni nini? Jibu mtakalokuwa nalo ndio litadetermine kama ni sawa ama la!
 
acha ,mambo ya kjinga utaangaliaje mwanaume nwnzako anashughulika ndo upate stim za kumshughulikia m2,hiyo ni sawa na kuibia/kuchabo paper ili ufaulu.mkeo atakuona kilaza ma maujuz hadi upige chabo kwenye kideo.halafu ni dhambi kuangalia hzo muvi
 
acha ,mambo ya kjinga utaangaliaje mwanaume nwnzako anashughulika ndo upate stim za kumshughulikia m2,hiyo ni sawa na kuibia/kuchabo paper ili ufaulu.mkeo atakuona kilaza ma maujuz hadi upige chabo kwenye kideo.halafu ni dhambi kuangalia hzo muvi
 
kwasababu nasikia ukiangalia picha za ngono na mpz wako kuna vitu vina wahamasisha kuvifanya.je ni kweli?

Hata ukiangalia peke yako unahamasika.... sembuse wa kukuwezesha akiwepo?
Twenty 2 as much as your topics are innocent and naive - ndio ni vifungua macho...

USHAURI; Samahani kama nitakukwaza... ni moja wa members anarusha saana nyuzi
hapa MMU, But sijawahi kukuona nje ya uzi wako, tunakuhitaji pia kwa wanaohitaji ushauri kama wewe..
 
Back
Top Bottom