Kuangalia live match kupitia laptop | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Kuangalia live match kupitia laptop

Discussion in 'Tech, Gadgets & Science Forum' started by kiloloma, Mar 23, 2012.

 1. k

  kiloloma Member

  #1
  Mar 23, 2012
  Joined: Oct 16, 2011
  Messages: 55
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 13
  Naomba msaada jinsi ya kuona mechi live bure kwenye computer kama za uefa,primier league nimejaribu ''live football'' bila mafanikio
   
 2. J

  JATELO1 JF-Expert Member

  #2
  Mar 23, 2012
  Joined: Oct 31, 2011
  Messages: 1,234
  Likes Received: 46
  Trophy Points: 145
  Linki hizi ni hakika na utafurahi.

  1. SPORT LIVE :: Watch Free Live Sports TV online

  2. ROJADIRECTA

  Hizo link zote ni njema sana, kwani mechi za ligi zote huonyeshwa.
  Kila la kheri.
   
 3. Mrimi

  Mrimi JF-Expert Member

  #3
  Mar 23, 2012
  Joined: Jul 18, 2011
  Messages: 1,663
  Likes Received: 65
  Trophy Points: 145
  Mimi mwanzo nilikuwa nahangaika sana na tv softwares ambazo kiukweli ziko very limited ktk channels zake. Mwisho wa siku google ndiyo ikajakuwa suluhu. Website ni nyingi sana zenye kuonesha mechi live kibao. Huna haja ya kukariri, we ingia tu kwenye google kisha omba Live football streaming sites utapata orodha ya sites kibao, kisha utajichagulia mwenyewe ipi utakayoona inakufaa.
   
 4. Techintz

  Techintz Member

  #4
  Mar 24, 2012
  Joined: Mar 7, 2012
  Messages: 99
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 0
  Watch Premier League/UEFA Champions League Matches Online For FREE ~ TECHINTZ
   
 5. Mtazamaji

  Mtazamaji JF-Expert Member

  #5
  Mar 24, 2012
  Joined: Feb 29, 2008
  Messages: 5,972
  Likes Received: 29
  Trophy Points: 0
  Bure inategemea na Bandwisth ya net yako hizi ni baadhi ya link

  mypremium.tv/
  - Hawa si tu unaweza kuona channel kadhaa za sky sports bali hata baadhi ya vipindi vizuri vya sayansi na tek vya BBCone au BBCtwo Vile vile Eurospsoprts. Njia nyingine unaweza kuona channel kama hizi moja kwa moja bila upitia kwenye tovuti nyingine ni kufake IP iwe ya nchi fuani eg uk.

  VIPBOX.tv hapa napo unaweza kucheki michezo mbali mbali live

  vile vike soma singarure hapo chini kwenye kablog a mtazamaji unaweza
   
 6. mdeesingano

  mdeesingano Member

  #6
  Mar 24, 2012
  Joined: Aug 12, 2008
  Messages: 70
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Mmhhh, bandwidth inakua na speed ya maana!? Au utakua unaangalia kwa ku-stack stack!? Buffering kibao!
   
Loading...