Kuandikisha mtoto shule ya msingi kama huna namba za nida mtoto hapokelewi

wa stendi

JF-Expert Member
Jul 7, 2016
24,688
26,795
Sijui kama ni sheria au ni masharti kutoka serikalini au ni maamuzi ya mwalimu mkuu lakini kwa sasa kama unaenda kumwandikisha mtoto shule ya msingi kama mzazi hauna namba za nida haupokelewi hapo hapo unarudishwa.

Zamani ilikuwa cheti cha kuzaliwa kwa mtoto ila naona kwa sasa cheti hakina nguvu kama namba za nida kwa mzazi

Huu usumbufu sana kwa wazazi/walezi maana kuna wengine mpaka sasa hizo namba hawana na ndio hivyo shule zishafunguliwa hawa watoto wanatakiwa madarasani serikali iangalie utaratibu mwingine maana hii imekuwa ni usumbufu sana
 
Serikali ya wanyonge : endeleeni kufyatua elimu ni bure .
 
Back
Top Bottom