Kuandikisha mtoto darasa la kwanza | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Kuandikisha mtoto darasa la kwanza

Discussion in 'Jukwaa la Elimu (Education Forum)' started by Watunduru, Jan 9, 2012.

 1. Watunduru

  Watunduru Senior Member

  #1
  Jan 9, 2012
  Joined: Dec 29, 2011
  Messages: 163
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  Wadau naomba kujuzwa,inasemekana elimu ya msingi ada imefutwa lakini kumwandikisha mtoto darasa la kwanza bila kutoa elfu kumi hupewi nafasi,hivi hii ada ya kumwandikisha mtoto shule ni ya nini hasa na inaingia ktk mfuko gani?je inatambulika na inafanyiwa ukaguzi au ni takrima tu waliyojiwekea waalimu?wataalam naomba mnijuze.
   
 2. Tony Almeda

  Tony Almeda JF-Expert Member

  #2
  Jan 9, 2012
  Joined: Sep 18, 2011
  Messages: 397
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  We kama unataka mwanao andikishwe wape, mie nimetoa 17,000 na tshirt wamempan.
   
Loading...