Kuandika thread huku unasinzia, asubuhi nikiamka siamini kwamba mimi ndio nimekiandika

FRANCIS DA DON

JF-Expert Member
Sep 4, 2013
36,013
40,681
Kuna kama mara mbili hivi nilikuwa naandika tjread huku nina usingizi sana. Sasa nikija kulala kuamka asubuhi husa nakuwa siamini kama mimi ndio nimeandika, maana nakuwa nimeandika point balaa....!
 
Back
Top Bottom