Kuamka ukiwa umechoooka.

blackstone

Senior Member
Aug 11, 2015
147
128
Wakuu
Habari wana jf kuamka mwili ukiwa umechoka sana wakati mwingine kama umefanya kazi ngumu sana,inasababishwa na mambo gani kiafya au kimazingira
Natanguliza shukrani
 
Wakuu
Habari wana jf kuamka mwili ukiwa umechoka sana wakati mwingine kama umefanya kazi ngumu sana,inasababishwa na mambo gani kiafya au kimazingira
Natanguliza shukrani
idea ya kuchoka inatoka kwenye concept ta process ya photonynthsesis ambapo ni kitendo cha mmea kujitengenezea chakula chake.
ipo hivi:
ili mmea uweze kutengeneza chakula chake inahitaji mwanga wa jua, maji, gesi ya kaboni dioksaidi na ukijani ( klolophili).
wakati wa mchana process ya photosynthesis inazalisha gesi ya oksejeni ambayo ndiyo mmea unaitumia na binadamu pamoja na wanyama. sasa wakati wa usiku ile oksejeni iliyozalishwa wakati wa mchana inatumika kutengeneza chakula kitu ambacho kunakuwa na upungufu mkubwa sana wa oksejeni kwa vile mmea, binadamu na wanyama wanatumia hiyo oksejeni iliyozalishwa wakati mchana. kutokana na upungufu huo wa oksejeni mwilini ndio maana tunachoka kwa sababu mwili na viungo vingine vya mwilini vinakuwa havipati oksejeni ya kutosha.
ndio maana kwa anagilizo tunshauriwa tusiweke majiko ya mkaa yakiwa na moto ndani, na tusiwe na maua yanayokuwa( yale yanayoendelea kumwagiwa maji kwa maana ya kugrow) kwa sababu vyote hivyo vinatumia oksejeni ile kidogo ambayo tunayoshare na mimea wakati wa usiku.
kwa idea yangu ndogo naomba niishie hapo japo nimefupisha...!!!
 
Aina ya chakula kabla ya kulala.
Wingi wa chakula kabla ya kulala.
Muda wa chakula kabla ya kulala.
Mtindo wa kulala,kamwe usilalie mkono wa kushoto.
 
Kama ni one off occasion inawezekana ni mawazo, lakini kama ni kila mara kwa mara, jaribu kucheck afya, diabetes pia low immune system inaweza kufanya mwili uchoke bila sababu. Diabetes Ketoacidosis (DKA) inatokea pale element tatu za mwili hyperglycaemia, ketonaemia na ketonuria zinapojitokeza kwenye damu. Pale mwili unaposhindwa kutumia sukari iliyoko kwenye damu kwaajili ya kuupa mwili nguvu. Matokeo yake mwili unavunja sukari iliyohifadhiwa kwenye mafuta ili iweze kutumika kama nishati ya mwili. Hii pia husababisha muongezeko wa hormones (adrenaline, glucagon na cortisol) zinavunjwa ili kuongeza glycogenolysis, uvunjaji wa sukari kwenye ini ili iwe nishati. Process yote hii inafanya mwili kuchoka sana.
 
Nimewahi kusikia hiki kitu na kwa wengine. Hivi kuna connection gani

Use of fan causes DISPLACEMENT of oxygen from the surroundings leading to its reduced concentration. This in turn results into decreased oxygen supply vs demand, leading to effects of oxygen deprivation to the body such as one feeling tired e.t.c !!!!
 
Use of fan causes DISPLACEMENT of oxygen from the surroundings leading to its reduced concentration. This in turn results into decreased oxygen supply vs demand, leading to effects of oxygen deprivation to the body such as one feeling tired e.t.c !!!!
Ingawa umetumia anayoikimbia bwana yule..., ila nimekuelewa. Mana nami natumia fan tena speed ya mwisho ila nikiamka nakuwa kama nimebeba chuma kizito vile
 
Jitahidi uwe unakula mapema masaa 2 au 3 kabla ya kulala

Hii itasaidia kuufanya mwili Urelax ukiwa umelala
 
* Kumekuwepo na tatizo la vifo vya ghafla sana tena kwa watu ambao wana afya njema na hii inatokana na kuamka ghafla usiku ambapo ubongo hukosa damu ya kutosha .*
*Unapoamka katikati ya usiku kwenda kujisaidia haja ndogo mfumo wa damu unakuwa umebadilika.* *Kwa sababu kuamka ghafla,kinakuwa hakuna mzunguko wa kutosha wa damu kwenye ubongo unaosababisha moyo kushindwa kufanya kazi kutokana na ukosefu wa damu.* *Ushauri:tumia dakika 3 na nusu kufanya yafuatayo":*
*1. Unapoamka usingizini lala kitandani kwa nusu dakika ;*
*2. Kaa kitandani kwa takribani nusu dakika;*
*3. Shusha miguu,kaa pembeni ya kitanda takribani nusu dakika.* *Baada ya dakika 3 na nusu hutakuwa na tatizo la ukosedu wa damu kwenye ubongo na moyo kushindwa kufanya kazi inapunguza uwezekano wa vifo vya ghafla na kuanguka ghafla.*
*Shirikisha marafiki na jamaa.* *Inatokea bila kujali umri.*
*kushare ni kujali.Kama tayari ulikuwa unajua hili lichukulie kama kumbukumbu.
 
Aina ya chakula kabla ya kulala.
Wingi wa chakula kabla ya kulala.
Muda wa chakula kabla ya kulala.
Mtindo wa kulala,kamwe usilalie mkono wa kushoto.
wataalam wanasema unatakiwa ulalie mkono wa kushoto kuliko kulia, sasa wewe unasema kulia, nimeona articles nyingi zikisema kushoto unatakiwa ulalie
 
Chumba chako hakiingizi hewa ya oksijeni ya kutosha kwahyo ile hewa iliyo ndani ya chumba unakuwa una inhale na exhale inakupelekea kuamka umechoka kutokana na damu kukosa okjeni ya kutosha
 

Similar Discussions

0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom