Kuamia kwa mafisadi CHADEMA, kijana shtuka chukua hatua!

Chikawe Jr

Member
Jun 6, 2017
23
85
Na juma george

Kwa kipindi kirefu chadema wamekuwa wakiwadanganya watanzania kuwa wao ni chama cha kutetea wanyonge nchini, na kwamba wamejikita hasa kutetea haki na utu wa mtanzania kupitia harakati za kisiasa. Huu ndio ulikuwa ushawishi wao mkubwa kwa vijana ambao walikuwa wanaonyesha harakati mavyuoni miaka ya 2008-2015. Kwa ushawishi huu ndio wakawapata vijana kama wakina Zitto, Mnyika, Katambi, Adris, Mdee, n.k. vijana hawa walishawishiwa na hoja hiyo pamoja na ahadi ndogondogo za uongozi katika chama.

Muda unavyozidi kwenda chama hiki kimeendelea kujivua ngozi yake hiyo ya nje na kuonyesha waziwazi hiki ni chama chenye maslahi binafsi (maslahi ya waanzilishi)?. toka kipindi cha uchaguzi wa mwaka 2015, CHADEMA imeonekana kubadilika sana "muonekano wake wa nje" na kuwashangaza watanzania wengi; baada ya kuamua kuachana na siasa za kuwapigania wananchi (kwa muonekano wa nje ) na kujikita na siasa za kutaka kushika dola (muonekano wa nje wa sasa).

Katika muonekano wa kuwapigania wananchi (muonekano wa awali- sasa wanaita zilipendwa), CHADEMA ilitoa fursa pana kwa vijana na wanaharakati kugombea nafasi za uongozi ndani na nje ya chama na kubakiza nafasi moja tu nyeti ya mwenyekiti taifa ambayo hii huwezi kupata kama sio mmoja wao na uwe Mchaga au Mpare.

Vijana wengi walivutiwa na muonekano huo (ambao sasa wanaita zilipendwa) na kujiunga na chama hicho kwa matumaini ya kuwa viongozi wa kiharakati. Katika kipindi hicho chote chadema hawakuweka wazi itikadi ya chama hicho (yaani wanaamini katika nini?) Na kutanguliza mbele muonekano wa kiharakati wa kutetea jamii, muonekano ambao ulikuwa fake kwani ni nje tu walionekana hivyo lakini ndani ni mafisadi watupu (ushahidi ninao).

Mabadiliko ya muonekano wa nje wa CHADEMA ni sawa na shetani aliyejificha kuzimu kwa muda mrefu na sasa kuamua kujionyesha wazi ili walio wake aendelee nao. Katika muonekano huu mpya wa chadema wa kutaka kushika dola, yapo mambo ya msingi nataka muyajue.

MOJA;
Itikadi ya chadema kwa asili ni uliberali. Kwa muda mrefu wa kukiimarisha chama waanzilishi hawakuweka wazi kwa wanachama na wananchi kwa ujumla, kuwa chama hiki itikadi yake ni ipi. Walijitahidi kuficha na kuandikwa katika mioyo ya waanzilishi pekee itikadi yao, na kimsingi waanzilishi wote wa CHADEMA ni mabepari ya kutupwa. Katika itikadi hii ya ubepari au uliberali unaruhusiwa kujilimbikizia mali kwa maslahi yako binafsi wewe na familia yako na ndio chanzo kikubwa cha uhujumu uchumi na ufisadi nchini.

PILI;
Afisadi wote ni mabepari au maliberali. Kutokana na itikadi hii kuruhusu watu wake kujilimbikizia mali bila kuwa na njia inayoeleweka ya upatikanaji wa mali hiyo, itikadi hii imekuwa kichocheo kikubwa cha ufisadi na uhujumu uchumi wa nchi nyingi afrika. Mafisadi yote hufurahia itikadi hii kwa kuwa inawapa fursa ya kuendeleza ufisadi kwa njia moja ama nyingine kwa kuwa wako huru.

Je, MalibeRali wote ni ndugu?

Ndiyo, maliberali wote ni ndugu, na ndio maana hata marafiki wa vyama hivi ni lazima wafanane itikadi. Ukiangalia kwa umakini utagundua vyama marafiki wa chadema vyote ni vile vyenye itikadi ya uliberali duniani. Toka kuanzishwa kwake chadema haijawahi kuwa na chama rafiki chenye imani na itikadi ya kijamaa duniani.(wale mnaopenda kuhoji muulizeni mwenyekiti wenu kama kuna chama kinachofuata itikadi ya kijamaa duniani kina urafiki na chadema?). Itikadi hii ya uliberali asili yake ni nchi kubwa zilizotawala dunia wakati wa ukoloni na hili lilikuja ili kuendeleza unyonyaji wa nchi changa kupitia vibaraka kwa njia ya siasa.

Maliberali nchini walitokea wapi?
Historia ya itikadi katika nchi ni ya muda mrefu ingawa miaka 1990s ilipoteza ushawishi kwa viongozi wengi. Kihistoria tanzania ilipata uhuru 1961 na baada ya uhuru nchi ilipita katika maboresho ya mifumo mbalimbali iliyoachwa na mwingereza ili kuwa na mifumo ambayo itaendana na utamaduni wa mtanzania na ndipo ilipofika mwaka 1967 kama nchi kupitia serikali ya jamhuri ya muungano wa tanzania kuamua kwa dhati tukiongozwa na hayati baba wa taifa mwl. Julius kambarage nyerere, kufuata siasa ya ujamaa na kujitegemea kama itikadi ya chama na nchi kwa ujumla.

Ingawa mwitikio wa itikadi hii ya ujamaa na kujitegemea kukubalika na watanzania wengi wakati huo, wapo watanzania wachache ambao hawakukubaliana na utaratibu huu. Hawa wachache hawakukubaliana na itikadi hii kwa sababu kuu moja nayo ni kwamba "itikadi ya ujamaa na kujitegemea ilikuwa haitoi fursa ya watu wachache kuhodhi utajiri, madaraka na vyombo muhimu vya maamuzi. Hivyo walipinga kwa kuwa hawakukubaliana na utaratibu huo unaotoa haki ya utu na usawa.

Kwa kuwa nchi ilikuwa ya chama kimoja msuguano mkubwa ulitokea ndani ya chama cha mapinduzi (ccm) miaka ya 1979-1984. Msuguano huu ulikuwa mkali kuliko huu wa sasa wa vyama vingi kwa kuwa ulikuwa wa ki-itikadi zaidi na ilifikia hatua baadhi ya watanzania ambao hawakuwa wazalendo walishirikiana na mataifa ya magharibi kuhujumu uchumi wa nchi ili tukubali itikadi ya uliberali. (kama mnavyoona sasa watanzania wanavyotusaliti katika vita ya kiuchumi inayoendeshwa na rais magufuli).

Baada ya msuguano huo mkubwa, na kuanguka kwa urusi, itikadi ya ujamaa duniani kote iliyumba na ndipo tanzania lile kundi la watu wachache waliotaka uliberali kufanikiwa likisaidiwa na kupewa nguvu na mataifa ya magharibi. Baada ya kufanikiwa uliberali duniani kundi la watu wachache waliokuwa na itikadi hiyo waliunda kitu inaitwa "mtandao" kwa ajili ya kuhakikisha vyeo, utajiri na madaraka vinamilikiwa na kundi hilo pekee.

Ilipofika miaka ya 1990s, uliberali ulianza kupoteza nguvu kwani ulishindwa kujiweka kama mfumo katika nchi kutokana na baadhi ya waumini kunyimana nafasi ya kuhodhi mali, madaraka na vyeo na kupelekea mpasuko uliopelekea kuzaliwa kwa vyama vingi unavyovyiona leo. Moja ya chama ambacho kilianzishwa na wanachama wa uliberali baada ya mpasuko mkubwa wa kambi hiyo (mtandao) ni chadema (mzee mtei anaju vizuri sana)

Harakati za kundi hili lililomeguka na kuanzisha chama cha siasa kinachoitwa chadema ziliendelea toka miaka ya 1995, kwa kufanya kazi za kisiasa kama nilivyoainisha kule mwanzo kabisa wa andiko hili. Ni vema sasa baada ya historia fupi ya uliberali ulitokea wapi na kuzaliwa kwa chadema ni bora tukajikita katika kuangalia hali ya sasa ya kundi hili kubwa la maliberali ambao kwa muda mrefu wabunge kama wakina msigwa, tundu lisu, nasari, mdee n.k kuwapigia kelele za ufisadi na kashfa mbali mbali nchini kuamua kukimbilia chadema ambako maasimu wao wapo.

Hali itakuwaje chadema kufuatia wimbi kubwa la mafisadi kuamia chama hicho?
Kuamia kwa mafisadi katika chama hiki (chadema) mara zote kumekuwa na athari kubwa. Historia inaonyesha toka uchaguzi wa 2015, baada ya lowasa na washirka wake kuamia chadema tulishuhudia katibu mkuu dr. Slaa akiagana na chama hicho na kupumzika siasa kwa muda. Hakuna mwanachadema ambaye hajui ni kwa jinsi gani dr. Slaa amekipigania na kukijenga chama hicho lakini wenye chama waliamua kumchukua lowasa na wenzake na kuachana na dr.slaa. (mwanachadema tafakari)

Hii ilitokea kwa sababu kuu moja, wanachama wengi hawajui kuwa lowasa ndio mwenyekiti wa wa huo muungano wa maliberali nchini unaoitwa "mtandao"; na kwamba hakuna mwenye uwezo wa kumzuia anapoamua kuungana na jamaa zake ambao walikosana miaka ya 1990s na kuunda chama cha chadema. Ilikuwa ngumu maliberali kumkataa mwenyekiti wao na kumbakiza dr. Slaa kwani wangevunja miiko ya itikadi yao. Ukitaka kuthibitisha hili jiulize swali; hivi kwa nini heshima ya lowasa chadema ni kubwa kuliko lisu, msigwa, mnyika,mbowe, n,k?. Utaratibu gani ulitumika kumpa nafasi ya juu katika chama?. Ni heshima kwa kuwa ni mwenyekiti wao maliberali na mbowe anajua.

Hivyo hivyo ujio wa mafisadi yanayotimka ccm kutokana na kiminyo wanachokipata kutoka kwa *rais. Magufuli na uongozi wa chama ambao umekusudia kuleta mabadiliko makubwa ndani ya chama na kuisuka ccm mpya, waingiapo chadema wataleta athari kubwa kwa wanachama hasa wale walioingia chadema wakiamini chama hicho ni cha kiharakati na kutetea wananchi. Kila fisadi ana wafuasi wake na hii itapelekea position & power struggle katika chama hicho. Na mara zote itikadi ya uliberali inaangalia pesa kwanza hivyo mwanye nguvu ya pesa ndio atapewa kipaombele na kupewa nafasi.

Vijana wafanye nini?
Kutokana na vijana wengi kuwa na ndoto za kuwa viongozi wa nchi ninachoweza kuwaambia ni kwamba ujio wa mafisadi chadema ni ishara mbaya na wanatakiwa kujiandaa kukiacha chama hicho kwani wenye chama chao wanakuja ndio hao mafisadi wenye imani na itikadi ya uliberali. Ndoto zenu zinayeyuka ghafla kwa kuendelea kukaa chadema kwani wanachaofanya ni kuwatumia kama walivyomtumia dr. Slaa wakishafanikisha malengo yao wanawatosa. Kama waliweza kumtosa dr. Slaa je wewe una nguvu gani kama kijana ya kuwafanya wasikutose wakishafanikiwa?

Je vijana waende wapi?
Chama pekee chenye fursa nyingi ni ccm. Hii ni kutokana na kushika dola kwa muda mrefu hivyo kuwa kwenye nafasi kubwa ya kuwafundisha vijana uongozi na kutoa nafasi za uongozi kwa vijana ndani ya chama na serikali (serikali ya muungano na mapinduzi zanzibar).

Wakati upi unafaa kijana kujiunga ccm?
Wakati ni sasa kwani siku zote fursa ni kuzikimbilia. Wote wanaofanya uamuzi mapema wa kukimbilia fursa hufanikiwa. Hivyo vijana watakaoliona hili na kuamua kujiunga na ccm sasa wala si kesho watakuwa katika nafasi nzuri ya kujifunza uongozi na itikadi na baada ya kuiva kupangiwa majukumu.

Kijana stuka ccm ndio dili.
Tanzania kwanza. uzalendo wa kweli

Chikawe jr.
 
Tangu mfungue mahakama hewa....mmeshtak mafisadi wangapi? Jitambue
 
Huyu kama sio Bashite atakua ni Polepole au Jeri muro,,!
Akili za ki ccm ni atari sana kwa maisha ya Binadamu wa kaida.
Mmzoea kuchezea Akili za watanzania,kipindi hiki tumeamka atukubali kucheza ngoma ya watu watatu au wawili Swain kabisa.
 
Jizi lingine hili hapa mbona bado mmelikumbatia!? Chenge, Tibaijuka, Ngeleja na Wabunge wapokea rushwa ya milioni 10 kila mmoja tarehe 25/10/2016 hawa nao lini mnawafukuza kwenye chama chenu kisafi cha wahuni, mafisadi na wauaji!?

Prof. Assad amlipua Magufuli kwa ufisadi uuzaji wa nyumba za Serikali

*Na Juma George*

Kwa kipindi kirefu CHADEMA wamekuwa wakiwadanganya watanzania kuwa wao ni CHAMA cha KUTETEA WANYONGE NCHINI, na kwamba wamejikita hasa kutetea HAKI na UTU wa MTANZANIA kupitia harakati za kisiasa. Huu ndio ulikuwa ushawishi wao mkubwa kwa Vijana ambao walikuwa wanaonyesha harakati Mavyuoni miaka ya 2008-2015. Kwa USHAWISHI huu ndio wakawapata vijana kama wakina ZITTO, MNYIKA, KATAMBI, ADRIS, MDEE, n.k. Vijana hawa walishawishiwa na HOJA hiyo pamoja na Ahadi ndogondogo za Uongozi katika Chama.

Muda unavyozidi kwenda Chama hiki kimeendelea Kujivua ngozi yake hiyo ya NJE na kuonyesha waziwazi hiki ni Chama Chenye *MASLAHI BINAFSI (MASLAHI YA WAANZILISHI)?.* Toka kipindi cha uchaguzi wa mwaka 2015, Chadema imeonekana kubadilika sana "MUONEKANO WAKE WA NJE" na kuwashangaza watanzania wengi; baada ya kuamua kuachana na siasa za kuwapigania wananchi (Kwa Muonekano wa Nje ) na kujikita na Siasa za Kutaka Kushika Dola(Muonekano wa Nje wa sasa).

Katika Muonekano wa Kuwapigania wananchi ( Muonekano wa Awali- sasa wanaita ZILIPENDWA), CHADEMA ilitoa fursa pana kwa vijana na wanaharakati kugombea nafasi za uongozi ndani na nje ya Chama na kubakiza NAFASI MOJA tu NYETI ya MWENYEKITI TAIFA ambayo hii huwezi kupata kama SIO MMOJA WAO NA UWE MCHAGA AU MPARE.

Vijana wengi walivutiwa na muonekano huo (ambao sasa wanaita ZILIPENDWA) na kujiunga na Chama hicho kwa matumaini ya kuwa viongozi wa kiharakati. Katika kipindi hicho chote CHADEMA hawakuweka wazi ITIKADI YA CHAMA hicho (Yaani wanaamini katika nini?) na kutanguliza mbele muonekano wa kiharakati wa kutetea jamii, Muonekano ambao ulikuwa FAKE kwani ni NJE TU walionekana hivyo lakini NDANI ni Mafisadi watupu *(USHAHIDI NINAO)*.

Mabadiliko ya MUONEKANO wa NJE wa CHADEMA ni sawa na SHETANI aliyejificha KUZIMU kwa Muda Mrefu na sasa kuamua kujionyesha wazi ili walio wake aendelee nao. Katika muonekano huu mpya wa CHADEMA wa kutaka kushika Dola, yapo mambo ya Msingi nataka Muyajue.

*MOJA:* ITIKADI YA CHADEMA kwa asili ni ULIBERALI. Kwa muda mrefu wa kukiimarisha chama Waanzilishi hawakuweka wazi kwa wanachama na wananchi kwa ujumla, kuwa CHAMA hiki itikadi yake ni ipi. Walijitahidi kuficha na kuandikwa katika MIOYO ya waanzilishi pekee itikadi yao, na Kimsingi WAANZILISHI wote wa CHADEMA ni MABEPARI YA KUTUPWA. Katika itikadi hii ya UBEPARI Au ULIBERALI unaruhusiwa KUJILIMBIKIZIA MALI kwa maslahi yako binafsi wewe na Familia yako na ndio chanzo kikubwa cha UHUJUMU UCHUMI na UFISADI NCHINI.

*PILI:* MAFISADI WOTE NI MABEPARI AU MALIBERALI. Kutokana na Itikadi hii kuruhusu watu wake kujilimbikizia mali bila kuwa na Njia inayoeleweka ya upatikanaji wa mali hiyo, ITIKADI hii imekuwa kichocheo Kikubwa Cha UFISADI na UHUJUMU UCHUMI wa NCHI NYINGI AFRIKA. MAFISADI yote hufurahia ITIKADI hii kwa kuwa inawapa FURSA ya kuendeleza UFISADI kwa njia moja ama nyingine kwa kuwa wako huru.

*JE MALIBELALI WOTE NI NDUGU?*

Ndiyo, Maliberali wote ni ndugu, na ndio maana hata marafiki wa vyama hivi ni lazima wafanane ITIKADI. Ukiangalia kwa UMAKINI utagundua VYAMA marafiki wa CHADEMA Vyote ni vile vyenye ITIKADI YA ULIBERALI Duniani. Toka Kuanzishwa kwake CHADEMA haijawahi kuwa na Chama Rafiki chenye IMANI NA ITIKADI YA KIJAMAA DUNIANI.(Wale mnaopenda kuhoji muulizeni Mwenyekiti wenu kama kuna chama kinachofuata Itikadi ya kijamaa duniani kina urafiki na CHADEMA?). ITIKADI hii ya ULIBERALI asili yake ni nchi kubwa zilizotawala dunia wakati wa UKOLONI na hili lilikuja ili kuendeleza UNYONYAJI wa NCHI Changa kupitia VIBARAKA kwa njia ya SIASA.

*MALIBERALI NCHINI WALITOKEA WAPI?*

Historia ya ITIKADI katika nchi ni ya muda mrefu ingawa miaka 1990s ilipoteza ushawishi kwa Viongozi wengi. Kihistoria Tanzania ilipata Uhuru 1961 na baada ya Uhuru nchi ilipita katika maboresho ya mifumo mbalimbali iliyoachwa na MWINGEREZA ili kuwa na mifumo ambayo itaendana na Utamaduni wa Mtanzania na ndipo ilipofika mwaka 1967 kama nchi kupitia Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kuamua kwa dhati tukiongozwa na Hayati *BABA WA TAIFA Mwl. JULIUS KAMBARAGE NYERERE,* kufuata siasa ya UJAMAA NA KUJITEGEMEA kama itikadi ya Chama na Nchi kwa ujumla.

Ingawa mwitikio wa ITIKADI hii ya ujamaa na Kujitegemea kukubalika na Watanzania wengi wakati huo, wapo watanzania wachache ambao hawakukubaliana na utaratibu huu. Hawa wachache hawakukubaliana na Itikadi hii kwa sababu kuu moja nayo ni kwamba ""Itikadi ya Ujamaa na kujitegemea ilikuwa haitoi FURSA ya watu wachache Kuhodhi Utajiri, Madaraka na vyombo muhimu vya maamuzi. Hivyo walipinga kwa kuwa hawakukubaliana na utaratibu huo unaotoa *HAKI YA UTU na USAWA.*

Kwa kuwa nchi ilikuwa ya CHAMA kimoja msuguano mkubwa ulitokea ndani ya chama cha Mapinduzi (CCM) miaka ya 1979-1984. Msuguano huu ulikuwa mkali kuliko huu wa sasa wa vyama vingi kwa kuwa ulikuwa wa Ki-itikadi zaidi na ilifikia hatua baadhi ya Watanzania ambao *hawakuwa WAZALENDO* walishirikiana na MATAIFA YA MAGHARIBI kuhujumu Uchumi wa nchi ili tukubali ITIKADI YA ULIBERALI. *(Kama mnavyoona sasa watanzania wanavyotusaliti katika vita ya kiuchumi inayoendeshwa na Rais MAGUFULI).*

Baada ya Msuguano huo Mkubwa, na kuanguka kwa URUSI, itikadi ya UJAMAA duniani kote iliyumba na ndipo Tanzania lile kundi la watu wachache waliotaka ULIBERALI kufanikiwa likisaidiwa na kupewa nguvu na mataifa ya Magharibi. Baada ya kufanikiwa ULIBERALI duniani kundi la watu wachache waliokuwa na itikadi hiyo waliunda kitu inaitwa "MTANDAO" kwa ajili ya kuhakikisha Vyeo, Utajiri na madaraka vinamilikiwa na kundi hilo pekee.

Ilipofika miaka ya 1990s, ULIBERALI ulianza kupoteza nguvu kwani ulishindwa kujiweka kama mfumo katika nchi kutokana na baadhi ya WAUMINI kunyimana nafasi ya Kuhodhi mali, madaraka na vyeo na kupelekea mpasuko uliopelekea kuzaliwa kwa vyama vingi unavyovyiona leo. Moja ya chama ambacho kilianzishwa na wanachama wa ULIBERALI baada ya mpasuko mkubwa wa kambi hiyo (MTANDAO) ni CHADEMA *(Mzee Mtei anaju vizuri sana)*

Harakati za kundi hili lililomeguka na kuanzisha Chama Cha Siasa kinachoitwa CHADEMA ziliendelea toka miaka ya 1995, kwa kufanya kazi za kisiasa kama nilivyoainisha kule mwanzo kabisa wa andiko hili. Ni vema sasa baada ya historia fupi ya ULIBERALI ulitokea wapi na kuzaliwa kwa Chadema ni bora tukajikita katika kuangalia hali ya sasa ya kundi hili kubwa la MALIBERALI ambao kwa muda mrefu wabunge kama wakina *MSIGWA, TUNDU LISU, NASARI, MDEE n.k* kuwapigia kelele za *UFISADI* na *KASHFA* mbali mbali nchini kuamua KUKIMBILIA CHADEMA ambako maasimu wao wapo.

*HALI ITAKUWAJE CHADEMA KUFUATIA WIMBI KUBWA LA MAFISADI KUAMIA CHAMA HICHO?*

Kuamia kwa MAFISADI katika chama hiki (CHADEMA) mara zote kumekuwa na athari kubwa. Historia inaonyesha toka UCHAGUZI wa 2015, baada ya LOWASA na WASHIRKA wake kuamia CHADEMA tulishuhudia KATIBU Mkuu DR. SLAA akiagana na Chama hicho na kupumzika siasa kwa muda. Hakuna mwanachadema ambaye hajui ni kwa JINSI gani DR. SLAA amekipigania na kukijenga Chama hicho lakini WENYE CHAMA waliamua kumchukua LOWASA na WENZAKE na kuachana na DR.SLAA. *(Mwanachadema TAFAKARI)*

Hii ilitokea kwa sababu kuu moja, WANACHAMA wengi hawajui kuwa LOWASA ndio mwenyekiti wa wa huo muungano wa MALIBERALI Nchini unaoitwa "MTANDAO"; na kwamba hakuna mwenye uwezo wa kumzuia anapoamua kuungana na jamaa zake ambao walikosana miaka ya 1990s na kuunda Chama cha CHADEMA. Ilikuwa ngumu MALIBERALI kumkataa Mwenyekiti wao na kumbakiza DR. SLAA kwani wangevunja miiko ya ITIKADI YAO. Ukitaka kuthibitisha hili jiulize swali; Hivi kwa nini Heshima ya LOWASA CHADEMA ni KUBWA kuliko LISU, MSIGWA, MNYIKA,MBOWE, n,k?. Utaratibu gani ulitumika kumpa nafasi ya Juu katika chama?. Ni heshima kwa kuwa ni MWENYEKITI WAO MALIBERALI na MBOWE ANAJUA.

Hivyo hivyo ujio wa MAFISADI yanayotimka CCM kutokana na KIMINYO wanachokipata kutoka kwa *RAIS. MAGUFULI na UONGOZI wa CHAMA* ambao umekusudia kuleta mabadiliko makubwa ndani ya CHAMA na KUISUKA CCM MPYA, waingiapo CHADEMA wataleta athari kubwa kwa wanachama hasa wale walioingia CHADEMA wakiamini chama hicho ni cha kiharakati na kutetea wananchi. KILA FISADI ana wafuasi wake na hii itapelekea *POSITION & POWER STRUGGLE* katika chama hicho. Na mara zote ITIKADI ya ULIBERALI inaangalia PESA kwanza hivyo mwanye nguvu ya pesa ndio atapewa kipaombele na kupewa nafasi.

*VIJANA WAFANYE NINI?*
Kutokana na vijana wengi kuwa na ndoto za kuwa viongozi wa nchi ninachoweza kuwaambia ni kwamba UJIO wa MAFISADI CHADEMA ni ishara mbaya na wanatakiwa kujiandaa kukiacha chama hicho kwani wenye chama chao wanakuja ndio hao MAFISADI wenye IMANI na ITIKADI ya ULIBERALI. Ndoto zenu zinayeyuka ghafla kwa kuendelea kukaa CHADEMA kwani wanachaofanya ni kuwatumia kama walivyomtumia DR. SLAA wakishafanikisha malengo yao wanawatosa. Kama waliweza kumtosa DR. SLAA je wewe una nguvu gani kama kijana ya kuwafanya wasikutose wakishafanikiwa?

*JE VIJANA WAENDE WAPI?*
Chama pekee chenye fursa nyingi ni CCM. Hii ni kutokana na kushika dola kwa muda mrefu hivyo kuwa kwenye nafasi kubwa ya kuwafundisha vijana UONGOZI na kutoa nafasi za UONGOZI kwa vijana ndani ya CHAMA na SERIKALI *(Serikali ya Muungano na Mapinduzi Zanzibar).*

WAKATI UPI UNAFAA KIJANA KUJIUNGA CCM?
Wakati ni sasa kwani siku zote fursa ni kuzikimbilia. Wote wanaofanya uamuzi mapema wa kukimbilia fursa hufanikiwa. Hivyo vijana watakaoliona hili na kuamua kujiunga na CCM sasa wala si Kesho watakuwa katika nafasi nzuri ya kujifunza uongozi na ITIKADI na baada ya kuiva kupangiwa majukumu.

KIJANA STUKA CCM Ndio DILI.

TANZANIA KWANZA........................
...............UZALENDO WA KWELI

Chikawe Jr.
 
Aliyekuroga keshadanja!
 
  • Thanks
Reactions: BAK
Hizi hafithi sijui mnafaidika vipi....afadhali shogongo wath wananunua tamthilia zake.
 
Nimkumbushe tuu Mwandishi! Waliberali ni watu Wabinafsi Sana! Wako teyari kujilimbikizia kila lililo zuri hata kama lilipaswa kwenda kwa wengine! Leo Kuna Mliberali kaamua kujenga Airport kijijini kwake! Hii ni baada ya kufanikiwa kuwawekea Punda wa kijijini kwake Traffic light huko kijijini!
Katika Ubinafsi huo, hata Chama Tawala nacho kinaangukia katika Ubepari! Wakaamua kunyang'anya Mali za Serikali na kuzifanya za Chama! Na humo ndani ya Chama bado Kuna Waliberali waliamua kuzifanya Mali za Chama kuwa za Familia! Hawa ndio Maliberali halisi!
Na kama ulivyoonesha hapo juu, Waliberali wanalindana Sana! We ona wazee wa awamu ya tatu na ya nne walivyohakikishiwa kulindwa na Makaburi yao kutofukuliwa! Angalia kina Kalemani pamoja na kuliingiza Taifa hili kwenye Hasara, bado wanapeta, kina Chenge, Ngeleja, Tibaijuka et al bado wanalindwa hadi pale watakapohama chamani!

Waliberali pia ni WEZI Sana! Ukitaka kujua, we linganisha Bei ya kile Kivuko kilichogeuzwa Mzinga wa Kijeshi na Bei ya Boat la Kisasa la Azam, tena jipya na lenye uwezo Mkubwa zaidi! Huyo alienunua ndiye Mliberali halisi!
Ule msemo kwenye Injili Juu ya MBWA Mwitu waliovaa ngozi ya Kondoo ni kwa ajili yenu ccm! Msijifiche kwenye Koti la Ujamaa huku mkiishi na kutenda Kibepari!
 
ukiambiwa unaakili kama za mwanachama wa ccm jinyonge tu ina maana mafisadi nyumbani kwao ni ccm.
 
*Na Juma George*

Kwa kipindi kirefu CHADEMA wamekuwa wakiwadanganya watanzania kuwa wao ni CHAMA cha KUTETEA WANYONGE NCHINI, na kwamba wamejikita hasa kutetea HAKI na UTU wa MTANZANIA kupitia harakati za kisiasa. Huu ndio ulikuwa ushawishi wao mkubwa kwa Vijana ambao walikuwa wanaonyesha harakati Mavyuoni miaka ya 2008-2015. Kwa USHAWISHI huu ndio wakawapata vijana kama wakina ZITTO, MNYIKA, KATAMBI, ADRIS, MDEE, n.k. Vijana hawa walishawishiwa na HOJA hiyo pamoja na Ahadi ndogondogo za Uongozi katika Chama.

Muda unavyozidi kwenda Chama hiki kimeendelea Kujivua ngozi yake hiyo ya NJE na kuonyesha waziwazi hiki ni Chama Chenye *MASLAHI BINAFSI (MASLAHI YA WAANZILISHI)?.* Toka kipindi cha uchaguzi wa mwaka 2015, Chadema imeonekana kubadilika sana "MUONEKANO WAKE WA NJE" na kuwashangaza watanzania wengi; baada ya kuamua kuachana na siasa za kuwapigania wananchi (Kwa Muonekano wa Nje ) na kujikita na Siasa za Kutaka Kushika Dola(Muonekano wa Nje wa sasa).

Katika Muonekano wa Kuwapigania wananchi ( Muonekano wa Awali- sasa wanaita ZILIPENDWA), CHADEMA ilitoa fursa pana kwa vijana na wanaharakati kugombea nafasi za uongozi ndani na nje ya Chama na kubakiza NAFASI MOJA tu NYETI ya MWENYEKITI TAIFA ambayo hii huwezi kupata kama SIO MMOJA WAO NA UWE MCHAGA AU MPARE.

Vijana wengi walivutiwa na muonekano huo (ambao sasa wanaita ZILIPENDWA) na kujiunga na Chama hicho kwa matumaini ya kuwa viongozi wa kiharakati. Katika kipindi hicho chote CHADEMA hawakuweka wazi ITIKADI YA CHAMA hicho (Yaani wanaamini katika nini?) na kutanguliza mbele muonekano wa kiharakati wa kutetea jamii, Muonekano ambao ulikuwa FAKE kwani ni NJE TU walionekana hivyo lakini NDANI ni Mafisadi watupu *(USHAHIDI NINAO)*.

Mabadiliko ya MUONEKANO wa NJE wa CHADEMA ni sawa na SHETANI aliyejificha KUZIMU kwa Muda Mrefu na sasa kuamua kujionyesha wazi ili walio wake aendelee nao. Katika muonekano huu mpya wa CHADEMA wa kutaka kushika Dola, yapo mambo ya Msingi nataka Muyajue.

*MOJA:* ITIKADI YA CHADEMA kwa asili ni ULIBERALI. Kwa muda mrefu wa kukiimarisha chama Waanzilishi hawakuweka wazi kwa wanachama na wananchi kwa ujumla, kuwa CHAMA hiki itikadi yake ni ipi. Walijitahidi kuficha na kuandikwa katika MIOYO ya waanzilishi pekee itikadi yao, na Kimsingi WAANZILISHI wote wa CHADEMA ni MABEPARI YA KUTUPWA. Katika itikadi hii ya UBEPARI Au ULIBERALI unaruhusiwa KUJILIMBIKIZIA MALI kwa maslahi yako binafsi wewe na Familia yako na ndio chanzo kikubwa cha UHUJUMU UCHUMI na UFISADI NCHINI.

*PILI:* MAFISADI WOTE NI MABEPARI AU MALIBERALI. Kutokana na Itikadi hii kuruhusu watu wake kujilimbikizia mali bila kuwa na Njia inayoeleweka ya upatikanaji wa mali hiyo, ITIKADI hii imekuwa kichocheo Kikubwa Cha UFISADI na UHUJUMU UCHUMI wa NCHI NYINGI AFRIKA. MAFISADI yote hufurahia ITIKADI hii kwa kuwa inawapa FURSA ya kuendeleza UFISADI kwa njia moja ama nyingine kwa kuwa wako huru.

*JE MALIBELALI WOTE NI NDUGU?*

Ndiyo, Maliberali wote ni ndugu, na ndio maana hata marafiki wa vyama hivi ni lazima wafanane ITIKADI. Ukiangalia kwa UMAKINI utagundua VYAMA marafiki wa CHADEMA Vyote ni vile vyenye ITIKADI YA ULIBERALI Duniani. Toka Kuanzishwa kwake CHADEMA haijawahi kuwa na Chama Rafiki chenye IMANI NA ITIKADI YA KIJAMAA DUNIANI.(Wale mnaopenda kuhoji muulizeni Mwenyekiti wenu kama kuna chama kinachofuata Itikadi ya kijamaa duniani kina urafiki na CHADEMA?). ITIKADI hii ya ULIBERALI asili yake ni nchi kubwa zilizotawala dunia wakati wa UKOLONI na hili lilikuja ili kuendeleza UNYONYAJI wa NCHI Changa kupitia VIBARAKA kwa njia ya SIASA.

*MALIBERALI NCHINI WALITOKEA WAPI?*

Historia ya ITIKADI katika nchi ni ya muda mrefu ingawa miaka 1990s ilipoteza ushawishi kwa Viongozi wengi. Kihistoria Tanzania ilipata Uhuru 1961 na baada ya Uhuru nchi ilipita katika maboresho ya mifumo mbalimbali iliyoachwa na MWINGEREZA ili kuwa na mifumo ambayo itaendana na Utamaduni wa Mtanzania na ndipo ilipofika mwaka 1967 kama nchi kupitia Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kuamua kwa dhati tukiongozwa na Hayati *BABA WA TAIFA Mwl. JULIUS KAMBARAGE NYERERE,* kufuata siasa ya UJAMAA NA KUJITEGEMEA kama itikadi ya Chama na Nchi kwa ujumla.

Ingawa mwitikio wa ITIKADI hii ya ujamaa na Kujitegemea kukubalika na Watanzania wengi wakati huo, wapo watanzania wachache ambao hawakukubaliana na utaratibu huu. Hawa wachache hawakukubaliana na Itikadi hii kwa sababu kuu moja nayo ni kwamba ""Itikadi ya Ujamaa na kujitegemea ilikuwa haitoi FURSA ya watu wachache Kuhodhi Utajiri, Madaraka na vyombo muhimu vya maamuzi. Hivyo walipinga kwa kuwa hawakukubaliana na utaratibu huo unaotoa *HAKI YA UTU na USAWA.*

Kwa kuwa nchi ilikuwa ya CHAMA kimoja msuguano mkubwa ulitokea ndani ya chama cha Mapinduzi (CCM) miaka ya 1979-1984. Msuguano huu ulikuwa mkali kuliko huu wa sasa wa vyama vingi kwa kuwa ulikuwa wa Ki-itikadi zaidi na ilifikia hatua baadhi ya Watanzania ambao *hawakuwa WAZALENDO* walishirikiana na MATAIFA YA MAGHARIBI kuhujumu Uchumi wa nchi ili tukubali ITIKADI YA ULIBERALI. *(Kama mnavyoona sasa watanzania wanavyotusaliti katika vita ya kiuchumi inayoendeshwa na Rais MAGUFULI).*

Baada ya Msuguano huo Mkubwa, na kuanguka kwa URUSI, itikadi ya UJAMAA duniani kote iliyumba na ndipo Tanzania lile kundi la watu wachache waliotaka ULIBERALI kufanikiwa likisaidiwa na kupewa nguvu na mataifa ya Magharibi. Baada ya kufanikiwa ULIBERALI duniani kundi la watu wachache waliokuwa na itikadi hiyo waliunda kitu inaitwa "MTANDAO" kwa ajili ya kuhakikisha Vyeo, Utajiri na madaraka vinamilikiwa na kundi hilo pekee.

Ilipofika miaka ya 1990s, ULIBERALI ulianza kupoteza nguvu kwani ulishindwa kujiweka kama mfumo katika nchi kutokana na baadhi ya WAUMINI kunyimana nafasi ya Kuhodhi mali, madaraka na vyeo na kupelekea mpasuko uliopelekea kuzaliwa kwa vyama vingi unavyovyiona leo. Moja ya chama ambacho kilianzishwa na wanachama wa ULIBERALI baada ya mpasuko mkubwa wa kambi hiyo (MTANDAO) ni CHADEMA *(Mzee Mtei anaju vizuri sana)*

Harakati za kundi hili lililomeguka na kuanzisha Chama Cha Siasa kinachoitwa CHADEMA ziliendelea toka miaka ya 1995, kwa kufanya kazi za kisiasa kama nilivyoainisha kule mwanzo kabisa wa andiko hili. Ni vema sasa baada ya historia fupi ya ULIBERALI ulitokea wapi na kuzaliwa kwa Chadema ni bora tukajikita katika kuangalia hali ya sasa ya kundi hili kubwa la MALIBERALI ambao kwa muda mrefu wabunge kama wakina *MSIGWA, TUNDU LISU, NASARI, MDEE n.k* kuwapigia kelele za *UFISADI* na *KASHFA* mbali mbali nchini kuamua KUKIMBILIA CHADEMA ambako maasimu wao wapo.

*HALI ITAKUWAJE CHADEMA KUFUATIA WIMBI KUBWA LA MAFISADI KUAMIA CHAMA HICHO?*

Kuamia kwa MAFISADI katika chama hiki (CHADEMA) mara zote kumekuwa na athari kubwa. Historia inaonyesha toka UCHAGUZI wa 2015, baada ya LOWASA na WASHIRKA wake kuamia CHADEMA tulishuhudia KATIBU Mkuu DR. SLAA akiagana na Chama hicho na kupumzika siasa kwa muda. Hakuna mwanachadema ambaye hajui ni kwa JINSI gani DR. SLAA amekipigania na kukijenga Chama hicho lakini WENYE CHAMA waliamua kumchukua LOWASA na WENZAKE na kuachana na DR.SLAA. *(Mwanachadema TAFAKARI)*

Hii ilitokea kwa sababu kuu moja, WANACHAMA wengi hawajui kuwa LOWASA ndio mwenyekiti wa wa huo muungano wa MALIBERALI Nchini unaoitwa "MTANDAO"; na kwamba hakuna mwenye uwezo wa kumzuia anapoamua kuungana na jamaa zake ambao walikosana miaka ya 1990s na kuunda Chama cha CHADEMA. Ilikuwa ngumu MALIBERALI kumkataa Mwenyekiti wao na kumbakiza DR. SLAA kwani wangevunja miiko ya ITIKADI YAO. Ukitaka kuthibitisha hili jiulize swali; Hivi kwa nini Heshima ya LOWASA CHADEMA ni KUBWA kuliko LISU, MSIGWA, MNYIKA,MBOWE, n,k?. Utaratibu gani ulitumika kumpa nafasi ya Juu katika chama?. Ni heshima kwa kuwa ni MWENYEKITI WAO MALIBERALI na MBOWE ANAJUA.

Hivyo hivyo ujio wa MAFISADI yanayotimka CCM kutokana na KIMINYO wanachokipata kutoka kwa *RAIS. MAGUFULI na UONGOZI wa CHAMA* ambao umekusudia kuleta mabadiliko makubwa ndani ya CHAMA na KUISUKA CCM MPYA, waingiapo CHADEMA wataleta athari kubwa kwa wanachama hasa wale walioingia CHADEMA wakiamini chama hicho ni cha kiharakati na kutetea wananchi. KILA FISADI ana wafuasi wake na hii itapelekea *POSITION & POWER STRUGGLE* katika chama hicho. Na mara zote ITIKADI ya ULIBERALI inaangalia PESA kwanza hivyo mwanye nguvu ya pesa ndio atapewa kipaombele na kupewa nafasi.

*VIJANA WAFANYE NINI?*
Kutokana na vijana wengi kuwa na ndoto za kuwa viongozi wa nchi ninachoweza kuwaambia ni kwamba UJIO wa MAFISADI CHADEMA ni ishara mbaya na wanatakiwa kujiandaa kukiacha chama hicho kwani wenye chama chao wanakuja ndio hao MAFISADI wenye IMANI na ITIKADI ya ULIBERALI. Ndoto zenu zinayeyuka ghafla kwa kuendelea kukaa CHADEMA kwani wanachaofanya ni kuwatumia kama walivyomtumia DR. SLAA wakishafanikisha malengo yao wanawatosa. Kama waliweza kumtosa DR. SLAA je wewe una nguvu gani kama kijana ya kuwafanya wasikutose wakishafanikiwa?

*JE VIJANA WAENDE WAPI?*
Chama pekee chenye fursa nyingi ni CCM. Hii ni kutokana na kushika dola kwa muda mrefu hivyo kuwa kwenye nafasi kubwa ya kuwafundisha vijana UONGOZI na kutoa nafasi za UONGOZI kwa vijana ndani ya CHAMA na SERIKALI *(Serikali ya Muungano na Mapinduzi Zanzibar).*

WAKATI UPI UNAFAA KIJANA KUJIUNGA CCM?
Wakati ni sasa kwani siku zote fursa ni kuzikimbilia. Wote wanaofanya uamuzi mapema wa kukimbilia fursa hufanikiwa. Hivyo vijana watakaoliona hili na kuamua kujiunga na CCM sasa wala si Kesho watakuwa katika nafasi nzuri ya kujifunza uongozi na ITIKADI na baada ya kuiva kupangiwa majukumu.

KIJANA STUKA CCM Ndio DILI.

TANZANIA KWANZA........................
...............UZALENDO WA KWELI

Chikawe Jr.

Utakuta umekaa mahali unajiita "mchambuzi wa siasa"? Mtu akihamia upinzani ndo anakua fisadi? Nyie watu huo upuuzi mnaoukumbatia utawatokea siku moja kupitia kila tundu lililo wazi. Hao mafsadi mnawaacha na wakihama ndo mnapata hoja ya kuwasema. Kwa mtazamo huu, CCM imejaa mafisadi wa kutosha.
 
Back
Top Bottom