Uchaguzi 2020 Kuambiwa kwamba si Raia wa Tanzania, ni kashfa kubwa kwa Tundu Lissu na familia yake

Mbelgiji amekuja kuhakikisha amani yetu inaondoka yaani yeye kila akisimama jukwaani hana kauli za amani ni Shari tu,

Mara ooh patachimbika,

Kitaeleweka,

Tutaingia barabarani,

Tutawapeleka ICC.

Huyu mtu ana matatizo sio bure.
Kizuri ambacho naweza sema ni kwamba hayo yote anayatamka lakini anasisitiza endapo tu haki haita tendeka , mimi binafsi sion tatizo ilimradi tu haki iwepo nadhan haki ikiwepo kutakuwa na amani ingawa nauhakika hata haki isipo tendeka lissu hana cha kufanya maana jeuri hiyo hana.
 
Kuhisiwa pekee kwamba yeye na familia yake si raia tena wa Tanzania kwa hakika si jambo la kupuuzwa na kwanza na yeye Tundu na pia vyombo vya Dola.

Tundu lisu anapaswa mara moja alitolee ufafanuzi suala hilo na tena kwa ushahidi.

Pili vyombo vya Dola vimchunguze Tundu lisu kama ni kweli si mtanzania tena ili mara moja hatua stahiki zichukuliwe.
CCM mnatia huruma kwa hoja za kitoto
 
Kizuri ambacho naweza sema ni kwamba hayo yote anayatamka lakini anasisitiza endapo tu haki haita tendeka , mimi binafsi sion tatizo ilimradi tu haki iwepo nadhan haki ikiwepo kutakuwa na amani ingawa nauhakika hata haki isipo tendeka lissu hana cha kufanya maana jeuri hiyo hana.
Hizo kauli sio nzuri kipindi hiki cha uchaguzi ambacho hisia za watu zipo juu kidogo ,

Sio kila mtu anaweza elewa kama wewe , wengine wanachukulia mambo kwa uzito wake, sasa unaweza ona kauli kama hizo zitawaweka watu katika tension ya aina gani.

Kuna watu watakua wanaishi kwa wasiwasi wakidhani kuwa amani inakwenda kupotea , hivyo ni jukumu la serikali kuhakikisha amani inakuwepo.

Yeye anadi sera zake tu na sio kutishana hapa kila anapopanda majukwaani.
 
Kuhisiwa pekee kwamba yeye na familia yake si raia tena wa Tanzania kwa hakika si jambo la kupuuzwa na kwanza na yeye Tundu na pia vyombo vya Dola.

Tundu lisu anapaswa mara moja alitolee ufafanuzi suala hilo na tena kwa ushahidi.

Pili vyombo vya Dola vimchunguze Tundu lisu kama ni kweli si mtanzania tena ili mara moja hatua stahiki zichukuliwe.
Akili za ccm wanajijua wenyewe tu, sijui huko phd walienda kusomea uzezeta?
 
Kuhisiwa pekee kwamba yeye na familia yake si raia tena wa Tanzania kwa hakika si jambo la kupuuzwa na kwanza na yeye Tundu na pia vyombo vya Dola.

Tundu lisu anapaswa mara moja alitolee ufafanuzi suala hilo na tena kwa ushahidi.

Pili vyombo vya Dola vimchunguze Tundu lisu kama ni kweli si mtanzania tena ili mara moja hatua stahiki zichukuliwe.
Waanze banyamulenge makufuli ambaye wasukuma hawamtambui kama ni mwenzao Wala hakuna kabila Tanzania lenye ukoo huo wa kigaidi na kizandiki huyu ni raia wa nchi gani?
 
Kuhisiwa pekee kwamba yeye na familia yake si raia tena wa Tanzania kwa hakika si jambo la kupuuzwa na kwanza na yeye Tundu na pia vyombo vya Dola.

Tundu lisu anapaswa mara moja alitolee ufafanuzi suala hilo na tena kwa ushahidi.

Pili vyombo vya Dola vimchunguze Tundu lisu kama ni kweli si mtanzania tena ili mara moja hatua stahiki zichukuliwe.
Cardiac arrest
20200927_131141.jpg
 
Kwani Magufuli ni Raia wa Tanzania???
 
Kuhisiwa pekee kwamba yeye na familia yake si raia tena wa Tanzania kwa hakika si jambo la kupuuzwa na kwanza na yeye Tundu na pia vyombo vya Dola.

Tundu lisu anapaswa mara moja alitolee ufafanuzi suala hilo na tena kwa ushahidi.

Pili vyombo vya Dola vimchunguze Tundu lisu kama ni kweli si mtanzania tena ili mara moja hatua stahiki zichukuliwe.
Sio Siri nilimdharau sana lisu baada ya kusikia anakuja kugombea ila kwa ninayoyaona ni wazi wakili anawanyima usingizi watawala yaani siamini macho yngu
 
Mbelgiji amekuja kuhakikisha amani yetu inaondoka yaani yeye kila akisimama jukwaani hana kauli za amani ni Shari tu,

Mara ooh patachimbika,

Kitaeleweka,

Tutaingia barabarani,

Tutawapeleka ICC.

Huyu mtu ana matatizo sio bure.
Haha yani siamn kama lissu angekuwa jeuri kiasi hichi mpaka watawala wafikie hatua hii daah!! Nilimchukulia poa sana lissu
 
Back
Top Bottom