Uchaguzi 2020 Kuambiwa kwamba si Raia wa Tanzania, ni kashfa kubwa kwa Tundu Lissu na familia yake

jitombashisho

JF-Expert Member
Jun 11, 2020
266
1,000
Kuhisiwa pekee kwamba yeye na familia yake si raia tena wa Tanzania kwa hakika si jambo la kupuuzwa na kwanza na yeye Tundu na pia vyombo vya Dola.

Tundu Lissu anapaswa mara moja alitolee ufafanuzi suala hilo na tena kwa ushahidi.

Pili vyombo vya Dola vimchunguze Tundu Lissu kama ni kweli si Mtanzania tena ili mara moja hatua stahiki zichukuliwe.
 
Mr Q

JF-Expert Member
Aug 16, 2012
9,605
2,000
Kuhisiwa pekee kwamba yeye na familia yake si raia tena wa Tanzania kwa hakika si jambo la kupuuzwa na kwanza na yeye Tundu na pia vyombo vya Dola.

Tundu lisu anapaswa mara moja alitolee ufafanuzi suala hilo na tena kwa ushahidi.

Pili vyombo vya Dola vimchunguze Tundu lisu kama ni kweli si mtanzania tena ili mara moja hatua stahiki zichukuliwe.
Kuna yule mzilankanda.... Umewahi kujua origin yake hasa? Babu yake unajua alizikwa wapi?
 
BAK

JF-Expert Member
Feb 11, 2007
102,976
2,000
Wacha UJINGA wako wewe wa kuandika UZUSHI. Huo uraia wa Nchi nyingine ulimpa wewe!?

Kuhisiwa pekee kwamba yeye na familia yake si raia tena wa Tanzania kwa hakika si jambo la kupuuzwa na kwanza na yeye Tundu na pia vyombo vya Dola.

Tundu lisu anapaswa mara moja alitolee ufafanuzi suala hilo na tena kwa ushahidi.

Pili vyombo vya Dola vimchunguze Tundu lisu kama ni kweli si mtanzania tena ili mara moja hatua stahiki zichukuliwe.
 
muheza2007

JF-Expert Member
Mar 19, 2010
468
1,000
Belgian nationality
There are several procedures to become Belgian.

If you are an adult, you can acquire the Belgian nationality. Conditions:

1. being registered in the population register
2. staying legally in Belgium for at least 5 years
3. showing knowledge of one of the national languages
4. showing social integration and participation in economic life
 
stroke

JF-Expert Member
Feb 17, 2012
22,184
2,000
Mbelgiji amekuja kuhakikisha amani yetu inaondoka yaani yeye kila akisimama jukwaani hana kauli za amani ni Shari tu,

Mara ooh patachimbika,

Kitaeleweka,

Tutaingia barabarani,

Tutawapeleka ICC.

Huyu mtu ana matatizo sio bure.
 
kopites

JF-Expert Member
Jan 28, 2015
5,808
2,000
Kuhisiwa pekee kwamba yeye na familia yake si raia tena wa Tanzania kwa hakika si jambo la kupuuzwa na kwanza na yeye Tundu na pia vyombo vya Dola.

Tundu lisu anapaswa mara moja alitolee ufafanuzi suala hilo na tena kwa ushahidi.

Pili vyombo vya Dola vimchunguze Tundu lisu kama ni kweli si mtanzania tena ili mara moja hatua stahiki zichukuliwe.
Ha ha haaa,hivi ni vichekesho vya karne.
 
Keynez

JF-Expert Member
Feb 12, 2007
1,885
2,000
Nchi hii tuna watu wa ajabu sana na mtaji wa CCM bado ni propaganda kama hizi za mabeberu, kibaraka na siku hizi za ushoga.

Nimewahi kumsikia mtu mzima ninayemuheshimu akikubaliana na tuhuma kama hizi dhidi ya Lissu.

Mwingine niliwahi kumsikia akiniambia eti waliompiga risasi Lissu hawakuwa na nia ya kumuua.

Kumkomboa Mtanzania kutahitaji nguvu ya ziada.
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom