NanHabari! Juzi wakati nimetoka zangu night shift narudi home Chanika nikawapa lift watu 2 . Mmoja nilimwacha Gongolamboto mwingine nikaambatana naye mpaka Chanika Mwisho kwa Ngwale.
Tuliongea mengi ila kwa ufupi ni kwamba huyu baba kalitumikia taifa miaka 30 kama polisi, kastaafu mwaka huu kwa cheo cha koplo.
Huyu anakwenda kupata kiinua mgongo kidogo sana kulingana na cheo chake alichostaafia.
Polisi nadhani ndio kada inayoongoza kwa kunyanyaswa kwenye suala zima la promotion kazini. Huku watumishi wa umma wakipanda daraja kila baada ya miaka 3-4 , kuna polisi kwa miaka 30 anapanda cheo mara moja.
Nilitarajia wataungana na wananchi kudai haki kumbe imekuwa kinyume.
Kaka yangu ni police officer ( Inspector of police) mshahara wake ni kama sajini wa jeshi.
Elimu yake, alikua na ujuzi gani wa ziada alipokuwa kwenye chombo. ?Habari! Juzi wakati nimetoka zangu night shift narudi home Chanika nikawapa lift watu 2 . Mmoja nilimwacha Gongolamboto mwingine nikaambatana naye mpaka Chanika Mwisho kwa Ngwale.
Tuliongea mengi ila kwa ufupi ni kwamba huyu baba kalitumikia taifa miaka 30 kama polisi, kastaafu mwaka huu kwa cheo cha koplo.
Huyu anakwenda kupata kiinua mgongo kidogo sana kulingana na cheo chake alichostaafia.
Polisi nadhani ndio kada inayoongoza kwa kunyanyaswa kwenye suala zima la promotion kazini. Huku watumishi wa umma wakipanda daraja kila baada ya miaka 3-4 , kuna polisi kwa miaka 30 anapanda cheo mara moja.
Nilitarajia wataungana na wananchi kudai haki kumbe imekuwa kinyume.
Kaka yangu ni police officer ( Inspector of police) mshahara wake ni kama sajini wa jeshi.
Kwa yeyote anayeajiriwa anakuwa Askari. Na cheo cha uaskari kinaanzia constable mpaka afisa mteule( lisaa mkononi) kwa polisi sijui wanakiitaje hiki cheo. Sasa hata kama ni std 7 au form four ndio wamfanyie hivyo?Elimu yake, alikua na ujuzi gani wa ziada alipokuwa kwenye chombo. ?
Sawa Detective Cpl. Wewe unastaafu lini? Mwenzio akinyolewa..........Kazi ya polisi na mahakama ni wito, mishahara midogo. Tumikia taifa lako kijana.
Heri ya polisi, angalau wana marupurupu na wanajaaliwa kwa sare, mabuti na vijihongo. Gusa askari magereza uko ndiyo hoiiiiiiiii.Habari! Juzi wakati nimetoka zangu night shift narudi home Chanika nikawapa lift watu 2 . Mmoja nilimwacha Gongolamboto mwingine nikaambatana naye mpaka Chanika Mwisho kwa Ngwale.
Tuliongea mengi ila kwa ufupi ni kwamba huyu baba kalitumikia taifa miaka 30 kama polisi, kastaafu mwaka huu kwa cheo cha koplo.
Huyu anakwenda kupata kiinua mgongo kidogo sana kulingana na cheo chake alichostaafia.
Polisi nadhani ndio kada inayoongoza kwa kunyanyaswa kwenye suala zima la promotion kazini. Huku watumishi wa umma wakipanda daraja kila baada ya miaka 3-4 , kuna polisi kwa miaka 30 anapanda cheo mara moja.
Nilitarajia wataungana na wananchi kudai haki kumbe imekuwa kinyume.
Kaka yangu ni police officer ( Inspector of police) mshahara wake ni kama sajini wa jeshi.
Okay nyie migambo mnawatuma polisi vocha?Ahahaha.
Huku bandarini sisi walinzi tunawatuma police watuletee vocha wanafurahi wakijua chenji tunawaachia.
Okay nyie migambo mnawatuma polisi vocha?
sio polisi tu, kuna taasisi za serikali zina uongozi wa hovyo pasipo mfano.
Habari! Juzi wakati nimetoka zangu night shift narudi home Chanika nikawapa lift watu 2 . Mmoja nilimwacha Gongolamboto mwingine nikaambatana naye mpaka Chanika Mwisho kwa Ngwale.
Tuliongea mengi ila kwa ufupi ni kwamba huyu baba kalitumikia taifa miaka 30 kama polisi, kastaafu mwaka huu kwa cheo cha koplo.
Huyu anakwenda kupata kiinua mgongo kidogo sana kulingana na cheo chake alichostaafia.
Polisi nadhani ndio kada inayoongoza kwa kunyanyaswa kwenye suala zima la promotion kazini. Huku watumishi wa umma wakipanda daraja kila baada ya miaka 3-4 , kuna polisi kwa miaka 30 anapanda cheo mara moja.
Nilitarajia wataungana na wananchi kudai haki kumbe imekuwa kinyume.
Kaka yangu ni police officer ( Inspector of police) mshahara wake ni kama sajini wa jeshi.
Ila ukimwona huyu mzee anavyokalama utaanza kuwaonea huruma hawa polisi wetu