Kuajiriwa 1991 kupandishwa cheo mara moja tu. Anastaafu kwa uchungu

Habari! Juzi wakati nimetoka zangu night shift narudi home Chanika nikawapa lift watu 2 . Mmoja nilimwacha Gongolamboto mwingine nikaambatana naye mpaka Chanika Mwisho kwa Ngwale.
Tuliongea mengi ila kwa ufupi ni kwamba huyu baba kalitumikia taifa miaka 30 kama polisi, kastaafu mwaka huu kwa cheo cha koplo.
Huyu anakwenda kupata kiinua mgongo kidogo sana kulingana na cheo chake alichostaafia.
Polisi nadhani ndio kada inayoongoza kwa kunyanyaswa kwenye suala zima la promotion kazini. Huku watumishi wa umma wakipanda daraja kila baada ya miaka 3-4 , kuna polisi kwa miaka 30 anapanda cheo mara moja.
Nilitarajia wataungana na wananchi kudai haki kumbe imekuwa kinyume.
Kaka yangu ni police officer ( Inspector of police) mshahara wake ni kama sajini wa jeshi.
Nan
 
Elimu yake, alikua na ujuzi gani wa ziada alipokuwa kwenye chombo. ?
 
Kwa yeyote anayeajiriwa anakuwa Askari. Na cheo cha uaskari kinaanzia constable mpaka afisa mteule( lisaa mkononi) kwa polisi sijui wanakiitaje hiki cheo. Sasa hata kama ni std 7 au form four ndio wamfanyie hivyo?
Polisi wengi tu wengine mpaka wanafika umri wa miaka 45 hata kacheo kamoja hawana
 
Sasa Darasa la saba unataka upande cheo gani? Ili ukasumbue waliosoma kama anavyofanya mbunge msukuma
 
Habari! Juzi wakati nimetoka zangu night shift narudi home Chanika nikawapa lift watu 2 . Mmoja nilimwacha Gongolamboto mwingine nikaambatana naye mpaka Chanika Mwisho kwa Ngwale.
Tuliongea mengi ila kwa ufupi ni kwamba huyu baba kalitumikia taifa miaka 30 kama polisi, kastaafu mwaka huu kwa cheo cha koplo.
Huyu anakwenda kupata kiinua mgongo kidogo sana kulingana na cheo chake alichostaafia.
Polisi nadhani ndio kada inayoongoza kwa kunyanyaswa kwenye suala zima la promotion kazini. Huku watumishi wa umma wakipanda daraja kila baada ya miaka 3-4 , kuna polisi kwa miaka 30 anapanda cheo mara moja.
Nilitarajia wataungana na wananchi kudai haki kumbe imekuwa kinyume.
Kaka yangu ni police officer ( Inspector of police) mshahara wake ni kama sajini wa jeshi.
Heri ya polisi, angalau wana marupurupu na wanajaaliwa kwa sare, mabuti na vijihongo. Gusa askari magereza uko ndiyo hoiiiiiiiii.
 
Apambane na Hali yake na hao waliopo kwenye ajira wajiandae kisaikopojia! Na waendelee kutumia nguvu kwenye kazi bila ya akili#Endeleeni kitumika kwa maslahi ya wajanja!
 
Back
Top Bottom