Kuahirishwa mara kwa mara kwa hukumu za kesi zinazogusa masikio ya wengi maana yake nini?

Kama Sabaya hakupora hela za wafanyabiashara unadhani pongezi alizopata zilitokana na nini ? Halafu video zote za uvamizi na zingine zilizorekodiwa kwenye CCTV camera za mahoteli kadhaa Sabaya mwenyewe mbona hajawahi kuzikana , zaidi amedai alitumwa na Magufuli kufanya aliyoyafanya .

Wewe ni nani hadi upinge ?
Ni jambazi mwenziwe anayejaribu kuzika kichwa ardhini ili asionekane huku skonzi ameziacha hewani!!
 
Jaji mkuu anapenda sana kuongela "maboresho" ya mahakama, ni maboresho gani hayo huwa anayaongela? Au majengo mapya yanayojengwa na serikali?
 
Back
Top Bottom