juma mpemba
JF-Expert Member
- Aug 1, 2017
- 4,227
- 7,552
Uwiiiij....vocalist bora Congo nzima..fere gola lechante,,,le padre...hatari sana huyu MTU...huyu akianza kuimba hata fally anajificha chini ya kitanda.....fally nae akianza kucheza...wote tunamtazamaDuh kweli fally ippupa anabahatisha ?
Huyo jamaa habahatushi sema wewe una muziki ambao umeuzoea masikion mwako na ndio maana unaona mziki wa fally huupend
Mtu mwenye tuzo za kila aina ambazo wasanii wengi wameshindwa kuzipata ngoma Kama associe Maria bakanja na nyingnezo kibao n ngoma Kali hata Bibi yako kule kaliua anatikisa tako hata
Mkali mwingine n huyu hapa FERE GOLA sikiliza ngoma Kama 100kilos 3eme Vita imana
Sent from my TECNO F1 using JamiiForums mobile app