Kuagiza Mercedez Benz au Jeep; ipi itafaa kwa matumizi?

James Hungury

JF-Expert Member
Jun 8, 2013
825
612
Wadau nawasalimuni wote,
Mimi nataka mnisaidie kiushaur katika hili,
Kiukwel kwa mda mrefu nimekuwa nikitaman sana kumilik gar na mapenz yangu makubwa no kutumia gar kati ya marcedez au jeep,,
Nimejarib kutembelea website mbalimbal na nikaangalia model tofaut za aina za magar haya,
Lakin kibaya ni kuwa sijajua kwa undani kati ya marcedez Benz na Jeep je ni IPI itanifaa kwa matumiz yangu,mimi ni MTU WA safar,je ni gar IPI na model IPI katika hzi gar mbil itanifaa?thanks
Cc mshana Jr
Na wengine
 
Kama mfuko upo vzuri saana nunua benz GL class..kam upo vzuri wastani chukua jeep grand cherokee srt...kwangu ukiondoa range rover hizo mbili ndo zinazofuata
 
Back
Top Bottom