Mad Max
JF-Expert Member
- Oct 21, 2010
- 25,474
- 72,791
Wakuu habari.
Nimejaribu ku search Topic kama hii sijaipata, ila kama ipo Mods mtaiunganisha.
Mfano mtu akitaka kuagiza gari isio ya kijapan, kama BMW Benz VW Range etc, itakua ni vizuri kuagizia tena makampuni maarufu kama Beforward Tradecar view etc ambao wao tu wanajiita wauzaji wa Used Japanese Cars?
Kwanini mtu aisiagize moja kwa moja from Ulaya haiwezekani? Kama inawezekana, is it secure and affordable kuliko ukitokea Japan?