Kuagiza gari kwa miliioni 8-9

Sodium 23

JF-Expert Member
Sep 17, 2013
471
484
Habari zenu wakuu!
Kama mambo yakienda kama nnavyotarajia natizamia kuagiza gari kutoka Japan kupitia kampuni ya Be forward kwa bajeti ya mil. 8-9.
Natizamia kuagiza gari ya cc 1200-1300.
Je inawezekana kwa bajeti hii?
 
Inawezekana, kikubwa nenda kwenye ofisi zao na watakuonyesha aina ya gari walizonazo kulingana na kiasi cha pesa unachotarajia kutoa kwa ajili hiyo
 
Nipe namba zako PM nikupe muongozo
 
Hata ukitaka yenye cc1990 zipo nyingi kwa bei izo...cc chache uwezo mdogo
 
Inawezekana, kikubwa nenda kwenye ofisi zao na watakuonyesha aina ya gari walizonazo kulingana na kiasi cha pesa unachotarajia kutoa kwa ajili hiyo
Ofisi zao zipo wapi mkuu!!
 
Habari zenu wakuu!
Kama mambo yakienda kama nnavyotarajia natizamia kuagiza gari kutoka Japan kupitia kampuni ya Be forward kwa bajeti ya mil. 8-9.
Natizamia kuagiza gari ya cc 1200-1300.
Je inawezekana kwa bajeti hii?
Habari ndugu? Inawezekana kabisa. Nipigie kwenye namba 0746267740 tupange appointment kwa kesho ili uweze kuagiza gari yako kulingana na bajeti yako.

Beforward Karibu Yako
 
Back
Top Bottom