Kuadimika kwa mafuta ya taa Mwanza tatizo nini ? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Kuadimika kwa mafuta ya taa Mwanza tatizo nini ?

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Cartoons, Jul 20, 2012.

 1. C

  Cartoons Senior Member

  #1
  Jul 20, 2012
  Joined: Jul 16, 2012
  Messages: 123
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 33
  Wakuu kumekuwa na tatizo la kukosekana kwa mafuta ya taa hapa Mwanza.
  Mwanzon ilianza n vituo vya mafuta vichache ndio havikuwa nayo, ila siku zinavyozd kusonga mbele hata vile vituo vilivyokuwa nayo ukienda unaambiwa hamna.
   
Loading...