The real Daniel
JF-Expert Member
- Jan 5, 2017
- 2,117
- 7,817
Mwaka huu wa fedha, vyuo vingi vya umma vinaonekana kuto ajili kabisa watu kwenye nafasi za tutorial assistant.
Mwaka jana mwezi wa saba na wa nane vyuo vingi vilitoa chance hizo kwa vijana walio na vigezo. Lakini mwaka huu vyuo viwili tu ambavyo ni MUCE na Mzumbe vimetoa kazi lakini kazi hizo hazijawahusisha kabisa tutorials.
Hivi inawezekana kwamba kwa sasa watu hawa hawahitajiki kabisa, au ni muda tu bado?
Karibu tujadili.