Kuadimika kwa kazi za Tutorial Assistance katika vyuo vya umma, chanzo ni nini?

The real Daniel

JF-Expert Member
Jan 5, 2017
2,117
7,817
Mwaka huu wa fedha, vyuo vingi vya umma vinaonekana kuto ajili kabisa watu kwenye nafasi za tutorial assistant.
Mwaka jana mwezi wa saba na wa nane vyuo vingi vilitoa chance hizo kwa vijana walio na vigezo. Lakini mwaka huu vyuo viwili tu ambavyo ni MUCE na Mzumbe vimetoa kazi lakini kazi hizo hazijawahusisha kabisa tutorials.

Hivi inawezekana kwamba kwa sasa watu hawa hawahitajiki kabisa, au ni muda tu bado?
Karibu tujadili.
 
  • Nzuri
Reactions: BAK
Chanzo ni Bugirichato na vikwazo vyake vya kiuchumi alivyoamua kuviweka dhidi ya Watanzania.

Dah mwaka huu wa fedha, vyuo vingi vya umma vinaonekana kutoajili kabisa watu kwenye nafasi za tutorial assistant.
Mwakajana mwezi wa saba na wa nane vyuo vingi vilitoa chance hizo kwa vijana walio na vigezo. Lakini mwaka huu vyuo viwili tu ambavyo ni muce na mzumbe vimetoa kazi lakini kazi hizo hazijawahusisha kabisa tutorials.

Hivi inawezekana kwamba kwa sasa watu hawa hawahitajiki kabisa, au ni muda tu bado?
Karibu tujadili.
 
Tunabana matumizi
Dah hii kauli nimeanza kuiamini sasa
Screenshot_20190910-180432~2.jpeg
 
Dah mwaka huu wa fedha, vyuo vingi vya umma vinaonekana kutoajili kabisa watu kwenye nafasi za tutorial assistant.
Mwakajana mwezi wa saba na wa nane vyuo vingi vilitoa chance hizo kwa vijana walio na vigezo. Lakini mwaka huu vyuo viwili tu ambavyo ni MUCE na Mzumbe vimetoa kazi lakini kazi hizo hazijawahusisha kabisa tutorials.

Hivi inawezekana kwamba kwa sasa watu hawa hawahitajiki kabisa, au ni muda tu bado?
Karibu tujadili.
Daaah . . . . kweli aisee maana hizi post za Tutorial Assistants ndo zinatusave watoto wa kayumba coz mshiki wa kusomea Master's sio kidogo kwetu
 
Daaah . . . . kweli aisee maana hizi post za Tutorial Assistants ndo zinatusave watoto wa kayumba coz mshiki wa kusomea Master's sio kidogo kwetu
Kweli, maana ukitaka kwenda masters pesa ya ada na research haipungui 15m + pesa ya kujikimu, pesa amabayo ni ngumu kupata kama haupo kazini.

Sasa mwaka huu ni kama zinapotezewa hivi, duh
 
kweli zimekuwa changamoto Mimi nimezifatiia mpaka nimechoka natamani nitume tu hata Kama hawajazitoa watazikuta huko huko ni hataree
Dah, ubaya wa hivi vyuo vya serikali hata utume maombi, hawawezi kukuita mpaka watangaze kazi na uombe upya.

Na ubaya wq vyuo binafsi ni mshahara mdogo sana kwenye hiyo nafasi. Imagine kuna jamaa yangu kabakizwa chuo kimoja cha private kama TA, lakini take home wanampa 390000 tu.

Dawa ni kutafuta scholarships na kwenda masters
 
Kama hi

T.A analipwa laki nne? Kwa GPA kubwa hivyo analipwa laki nne?Daah naomba nisiseme kitu
 
kweli ninoma wadau tuanzisheni group za watsap tuwe tunapeana michongo ya post na maschoolarships wadauzinazotokea Mimi nazitafuta kinyama
 
Kama hiT.A analipwa laki nne? Kwa GPA kubwa hivyo analipwa laki nne?Daah naomba nisiseme kitu
Ndio, ukiwa T.A kwenye chuo cha Private, unapewa pesa ndogo sana. Sababu ni kwamba T.A hawafundishi, so hawasaidii sana kama ilivyo kwa assistant lecturers.

Ila kwa government, mpunga mrefu sana
 
Ningependa kujua kitu kinachomfanya mtu kuwa TA ?

Ufafanuzi pls kwa sababu ndo Mara yangu ya kwanza nasikia hiki kitu
 
Back
Top Bottom