Hali sio nzuri baada ya kuadimika kwa condom hapa nchini.
Yote hii ni sababu ya misaada kukatishwa.
Raia mnapaswa mjiongeze msifanye ngono kwa kipindi fulani mpaka misaada itakapoanza kuja tena.
Sasa ndugu zangu mchague mawili kifo cha UKIMWI au kuvumilia ukame kwa muda fulani.
Pia baadhi ya dawa zimeadimika hapa nchini so mjiweke salama "Mjikinge" dhidi ya magonjwa hasa malaria kwa watoto wadogo na wote pamoja na magonjwa mengine ya kuambukiza.
Mtaarifu na mwenzio ajipange.
NB: Ukimwi upo... ukimwi unaua, nimekazia ukimwi kwa sababu ngono inaongoza kupendwa Tanzania na duniani.