Kuadimika kwa Condom: Inabidi muache ngono kwa muda!

MzamiajiX

Member
Nov 14, 2018
36
34
Hali sio nzuri baada ya kuadimika kwa condom hapa nchini.

Yote hii ni sababu ya misaada kukatishwa.
Raia mnapaswa mjiongeze msifanye ngono kwa kipindi fulani mpaka misaada itakapoanza kuja tena.

Sasa ndugu zangu mchague mawili kifo cha UKIMWI au kuvumilia ukame kwa muda fulani.

Pia baadhi ya dawa zimeadimika hapa nchini so mjiweke salama "Mjikinge" dhidi ya magonjwa hasa malaria kwa watoto wadogo na wote pamoja na magonjwa mengine ya kuambukiza.

Mtaarifu na mwenzio ajipange.

NB: Ukimwi upo... ukimwi unaua, nimekazia ukimwi kwa sababu ngono inaongoza kupendwa Tanzania na duniani.
 
condom kwa kuzuiya mimba ila si kwa hilo jingine la kuaminishwa. Mtoa mada unaelewa mana ya UKIMWI? au sabubu uliusoma shule na kuiskia kwenye media ndo basi?
 
Dini zinahusiana vipi na utamu !?

Yaani nifuge mi genye kisa dini imesema ...!? Sasa itanisaidia vipi kutoa hii migenye mwilini " pindi nitakapoamua kuacha hiyo zinaa !?

Sent using Jamii Forums mobile app

Maswali mengine majibu huwa wanayo wazazi wetu. Kawaulize wazazi wako mpendwa kama kuzini Mungu hapendi ufanyaje
 
6 Reactions
Reply
Back
Top Bottom