Kuadimika kwa Condom: Inabidi muache ngono kwa muda!

anajua gharama za English Medium na tunataka kula bata na kikokotoo chetu.
shkamoo bibi,
Kweli skul fiz za inglish midiam zimewanyoosha hawa wazee wetu.
Ila naskia eti siku hizi babu ameacha kula ugoro?

Maendeleo hayana chama
 
shkamoo bibi,
Kweli skul fiz za inglish midiam zimewanyoosha hawa wazee wetu.
Ila naskia eti siku hizi babu ameacha kula ugoro?

Maendeleo hayana chama
Sina ruhusa ya kuongelea hilo, muulize mkiwa mnaangalia mpira.
 
Sina ruhusa ya kuongelea hilo, muulize mkiwa mnaangalia mpira.
Sawa bibi ila mimi bado siamini kama kweli babu amekua kamanda yaani anavaa gwanda kabisa eti kisa skul fiz, kwa hio hataki kuunga mkono juhudi za mkuu wa kaya alipowaomba mfyatuane kweri kweri.

Uzuri wa gwanda ni siku za hatari tu
 
Hali sio nzuri baada ya kuadimika kwa condom hapa nchini.
Yote hii ni sababu ya misaada kukatishwa.
Raia mnapaswa mjiongeze msifanye ngono kwa kipindi fulani mpaka misaada itakapoanza kuja tena.

Sasa ndugu zangu mchague mawili kifo cha ukimwi au kuvumilia ukame kwa muda fulani.

Pia baadhi ya dawa zimeadimika hapa nchini so mjiweke salama "Mjikinge" dhidi ya magonjwa hasa malaria kwa watoto wadogo na wote pamoja na magonjwa mengine ya kuambukiza.
Mtaarifu na mwenzio ajipange.

NB: Ukimwi upo... ukimwi unaua, nimekazia ukimwi kwa sababu ngono inaongoza kupendwa Tanzania na duniani.

Mbona mnaweweseka sana....
baada ya kuona movement za Lissu hazijazaa mlichokitegemea sasa mumegeukia ndani kutengeneza chuki kati ya wananchi na serikali yao ili watu waingie mtaani. Hamtafanikiwa!

Condom zipo, naamini kama unaweza kumudu gharama za"mwanamke"usawa huu basi huwezi kushindwa kununua condom.

Dawa za malaria turudi kwenye asili yetu tu.
 
Ungemalizia,
Upatikanaji wa condom utaendelea kuwa mzuri baada ya 2020 pending citation of moon!
 
condom kwa kuzuiya mimba ila si kwa hilo jingine la kuaminishwa. Mtoa mada unaelewa mana ya UKIMWI? au sabubu uliusoma shule na kuiskia kwenye media ndo basi?
Kwahiyo unasema condom haizuii Ukimwi??

Ukimwi kwami unaambukizwaje??
 
Back
Top Bottom