Kuadimika kwa Condom: Inabidi muache ngono kwa muda!

Dini zinahusiana vipi na utamu !?

Yaani nifuge mi genye kisa dini imesema ...!? Sasa itanisaidia vipi kutoa hii migenye mwilini " pindi nitakapoamua kuacha hiyo zinaa !?

Sent using Jamii Forums mobile app
Warumi 6
5Maana, kama sisi tumeungana naye katika kufa kama yeye, vivyo hivyo tutaungana naye kwa kufufuliwa kutoka wafu kama yeye. 6Tunajua kwamba utu wetu wa kale ulisulubiwa pamoja na Kristo, ili hali ya dhambi iharibiwe, tusiwe tena watumwa wa dhambi. 7Kwa maana, mtu aliyekufa, amenasuliwa kutoka katika nguvu ya dhambi.

Asante mama paroko

Maendeleo hayana chama
 
Warumi 6
5Maana, kama sisi tumeungana naye katika kufa kama yeye, vivyo hivyo tutaungana naye kwa kufufuliwa kutoka wafu kama yeye. 6Tunajua kwamba utu wetu wa kale ulisulubiwa pamoja na Kristo, ili hali ya dhambi iharibiwe, tusiwe tena watumwa wa dhambi. 7Kwa maana, mtu aliyekufa, amenasuliwa kutoka katika nguvu ya dhambi.

Sent using Jamii Forums mobile app
Haha sio kila mtu ni mfuasi wa hayo madude aise.. sisi wengine kwetu it's just a conspiracy theory

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Warumi 6
5Maana, kama sisi tumeungana naye katika kufa kama yeye, vivyo hivyo tutaungana naye kwa kufufuliwa kutoka wafu kama yeye. 6Tunajua kwamba utu wetu wa kale ulisulubiwa pamoja na Kristo, ili hali ya dhambi iharibiwe, tusiwe tena watumwa wa dhambi. 7Kwa maana, mtu aliyekufa, amenasuliwa kutoka katika nguvu ya dhambi.

Sent using Jamii Forums mobile app
Tunazitumia kama njia ya uzazi wa mpango kwenye ndoa zetu.
 
51436319_612496739222309_2292435234714923902_n.jpeg

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Maswali mengine majibu huwa wanayo wazazi wetu. Kawaulize wazazi wako mpendwa kama kuzini Mungu hapendi ufanyaje
Kwamba wazazi wangu ndio wanapaswa kuwa mbadala wangu wakufikiri hapa kabisa "

Halafu siwezi kwenda kuwauliza wazazi wangu " kwa sababu sio wao ambao ndio waliowasilisha Hii hoja hapa ... aliyewasilisha anaitwa rubii ..so anapaswa kutupatia majibu ili tusiendelee kubaki na mashaka juu yakile alicho kiongea

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom