Kuachwa na mwanamke unaempenda na kumwona anafuraha na mwaume mwingine au kuibiwa Hela kipi kinauma

ProBook

JF-Expert Member
Jan 13, 2012
558
257
Wakuu Wa Jukwaa,, kama kichwa cha habri kinavyojieleza..
Katika pita pita zangu kwa jukwaa la celebrities nimeona thread inayomhusu aliekuwa mume wa Zari (Boss Lady) akishow off na hela..

Kwa upande wangu ikanifanya niwaze,,kati ya kuwa na hela nyingi ambazo zaweza kukupa mwanamke yoyote na idadi yoyote au kupoteza hela nyingi kwa wakati mmoja NA kumwona mwanamke uliempenda na unaempenda ila kwa namna moja u nyingine ulishindwa kumfanya awe na furaha yupo na mwanaume mwingine wakiishi pamoja na kufurahi kuliko alivyokuwa na wewe..

Je ni kipi kitakuumiza moyo zaidi..?
 
Hela simusamehee kabisa mpaka kaburini lakini vingine vyote vyake so sina maamuzi ni yy tu na onjaonja yake
 
Mwanamke huwa haachi anasogea kwenye maslahi zaidi, na wewe ukipatamo hela zaidi atarudi
 
Wakuu Wa Jukwaa,, kama kichwa cha habri kinavyojieleza..
Katika pita pita zangu kwa jukwaa la celebrities nimeona thread inayomhusu aliekuwa mume wa Zari (Boss Lady) akishow off na hela..

Kwa upande wangu ikanifanya niwaze,,kati ya kuwa na hela nyingi ambazo zaweza kukupa mwanamke yoyote na idadi yoyote au kupoteza hela nyingi kwa wakati mmoja NA kumwona mwanamke uliempenda na unaempenda ila kwa namna moja u nyingine ulishindwa kumfanya awe na furaha yupo na mwanaume mwingine wakiishi pamoja na kufurahi kuliko alivyokuwa na wewe..

Je ni kipi kitakuumiza moyo zaidi..?
Acha kufananisha hela na vitu vya kijinga.
 
I'd trade it all, and 'em all for the woman I'm in love with, man. So Ms RGM, if you ever get to read this, you already know ma'.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom