Kuachana na mke wa ndoa (christian) ni kweli biblia imezuia?

Tatizo ni watu kutafsri kila kitu kwenye Biblia. Siyo kila NENO lililoandikwa kwenye Biblia ni mafumbo. Maandiko mengine yako wazi kabisa wala huna haja ya kutafsiri. Soma vizuri huo mstari na utaona. YESU alisema mtu hana ruhusa kumwacha mkewe "ISIPOKUWA TU KWA HABARI YA UASHERATI". Sasa hapo unatafsiri kitu gani tena. Mfano umeambiwa "USIIBE", hapo utataka kutafsiri hilo neno "usiibe"? Talaka imeruhusiwa, na sababu ya kutoa talaka ni moja tu; UASHERATI basi. Hata Mtume Paulo alisema kama mkeo hana imani ya YESU KRISTO na wewe unaamini, na kama hataki kuamini kama wewe na akitaka kuondoka sababu ya tofauti ya imani basi unaruhusa ya kumwacha aondoke zake. Soma 1 WAKORONTHO 7:15. Lakini mtu yoyote yule ambaye ni MKRISTO anapaswa kujali sana "msamaha". Kama mkeo au mumeo amekukosea hata kama kwa kufanya uasherati au uzinzi, mnatakiwa kusameheana makosa yenu. Huo ndiyo upendo wa KWELI, upendo ni kusameheana kama ambavyo BABA MUNGU anavyotusamehe sisi makosa yetu kila siku.
.
Haya bana, mimi nimejaribu kusoma na kuzifuatilia tafsiri mbali mbali na pia kuchunguza neno uasherati na neno Uzinzi na kujaribu kutafuta tafauti zake na pia kuhoji kwa kina ni kwa nini kanisa linakataa katu katu kutoa talaka na kuruhusu ndoa ya pili.
Nimegundua ufunuo wa Bwana Yesu kuhusu ndoa ni kuwarudisha waamini hapo kwanza kabla ya anguko. Anasema hapo kwanza haikuwa hivyo kama Musa alivyowaruhusu kuwapa talaka wake zenu. Maana yake ugumu wa miyoyo ya watu sii mahakama ya rufaa kuhalalisha kosa baada ya mtu kumjua Kristo na kuzaliwa upya katika ufalme wa Mungu.
Hivyo basi mtu anaefanya ya ugumu wa mioyo kanasa halisi halimpi hiyo nafasi labda tu lile linalojiita kanisa na kuishi watakavyo.
Wale walio oa wake wengi kabla ya kuongoka hamna kizuizi kwao kuendelea na wake zao baada ya kuongoka maana wakiwaacha ili waolewe na mwingine kineno ni kumruhusu huyo mwanamke na huyo anaemwoa wawe wanazini dhidi ya mme aliyemwacha.
Niligundua pia mwanamwali akiposwa huitwa mke kwa yule aliyemposa hata kama hajaruhusika kuwa na mahusiano ya ndoa. Huyu ndie Bwana Yesu aliyemzungumzia kwamba akifanya uasherati baada ya kuwa kwenye kifungo cha posa unaweza kuachwa lakini hata hivyo hafunguliwi kuolewa.
Paulo ukimsoma inabidi kuwa mtu wa makini sana maana unaweza ukajichanganya kwa hoja zake. Zipo juu sana hata Petro alionya. Kuna mahali katika mahusiano ya ndoa anasema huu ni ushauri wangu na pengine anasema hili nila Bwana. Pia utakuta kule kuachana kwa wawili walio oana kuna aya ambazo zinawakataza kuoa tena au kuolewa na kushauri wakae hivyo hivyo hadi kifo kimfungulie mmoja kuendelea na maisha ya ndoa tena.
Mambo ya ndoa ndio issue ngumu katika uzao wa Adamu kiliko yote na tunahitaji neema ya Mungu tu kuweza kumudu.
No wonder wanafunzi wa Yesu walimwambia kama ndoa ndio hivyo ni afadhali wakae bila kuoa. Yesu akawajibu lisilowezekana kwa binadamu kwa Mungu linawezekana!
 
Ndugu yangu nakubaliana na wewe wala sikupingi. Maandiko yapo wazi ndiyo lakini pia mimi binafsi siungi mkono swala la "talaka". Kwanini watu waachane? Kama kuna tatizo la mmoja kutokuwa mwaminifu kwanini wanandoa wasikae chini, wazungumze na kusameheana? BWANA YESU alisema; "alichokiunganisha MUNGU mwanadamu asikitenganishe". Talaka ni mbaya sana hasa kwa watoto sababu inawatenganisha watoto na wazazi wao na siyo vizuri kabisa. Mimi naamini zaidi katika msamaha na upendo wa kweli.
Ndugu yangu Kiby tupo pamoja sana. Amani ya BWANA wetu YESU KRISTO ikae pamoja nawe.
 
Amina barikiwa sana mtumishi
 
Kwani viongozi wako wa dini hauwaamini wanachokufundisha? Kama hauwaamini ni nani mwingine utamuamini?. NB: Utakapo enda kupewa mafundisho na viongozi wako usiende ukiwa tayari na majibu au interests zako kichwani! Kwa mfano mimi ni mu islamu,baada ya kuona nyama ya nguruwe huwa imenona muda wote na watu wengi huwa wanaila,naweza kwenda kwa sheikh wangu na kuanza kumsumbua kwamba ni wapi aya kwenye quran inayokataza kula kitimoto! Thats insane!.

Kuuliza sio dhambi bali dhambi kwenda kinyume na andiko
 
this is very controversial, kuna maeneo mengine Bible inasema kuwa, alichokiunganisha Mungu mwanadamu asikitenganishe, pia Mungu anachukia kuachana. lakini pia maeneo mengine yanasema kuwa, ukimwacha mme au mke usioe tena, ukiacha ukaoa tena utakuwa unazini. hivyo kuachana ruksa lakini hakikisha kuwa hautaoa tena, hautafanya mapenzi tena yaani utakuwa padri milele. however, this is subject to more research. soma kitabu hiki pengine kitakusaidia uielewa ndoa ili msiachane.
View attachment 98211
View attachment 98211
View attachment 98212View attachment 98212View attachment 98212View attachment 98212
Umeandika vizuri kiasi, kuachana ni Ruksa kwa dhambi ya UZINZI TU ulio na Ushahidi.

Vinginevyo Biblia haijatoa ruhusa ya kuachana.

Mengine uliyoandika ni sahihi ila endapo uliyeachana naye ataoa au ataolewa na mtu mwingine...nawewe utaruhusiwa kuoa au kuolewa.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom