Kuacha utani wanawake warefu ni wazuri sana

Unajua kuogelea mkuu..Usije ukazama
Hahaha! Hawa wa vimo vyangu sometimes wanakatisha stimu! Raha ya ku-swim mwenye ku-swim ndo awe na maamuzi... akitaka kupiga mbizi na asionake basi afanye kwa raha zake na kama ni haste haste na iwe haste haste! Sio mtu umejikoki kupiga mbizi mzima mzima unakutana na speed governor... aaaaargh!
 
Habari wakuu.

Wakuu kusema ukweli wanawake warefu wanaukonga sana moyo wangu. Wanawake wafupi itokee tu basi, ila moyo wangu hasa unavutiwa sana na wanawake warefu.

Mwanamke mrefu hasa ukitembea nae njiani unajisikia ufahari. Mimi wanawake wafupi na wasio na mikia inatokea bahati mbaya tu vile nakua sina ramani yoyote kama vile simba akiishiwa nyama hula majani.

Salute kwenu wanawake warefu.

Naomba ieleweke kua haya ni maoni yangu binasfi na sio kumkshfu mtu yoyote.
Unaona sifa,usisahau kondom,tutakuzika mapema..
 
Mbona mi demu wangu mrefu ila K yake ndogo sana yaan kitundu ni kidogo hatar
Kuingza dydy mpaka kubakana
 
Hata wanawake wanapenda wanaume warefu.

Ofcoz watu warefu awe mwanamke au mwanaume wana mvuto wao.

Sifa kubwa ya watu warefu ni kujiamini, wengi pia hua wapole na wastaarabu. Hua ni waskivu pia.

Kua mrefu ni ufahari.
Wooiyoo najivunia kuwa mrefu aasante kwa kunijaalia
 
Habari wakuu.

Wakuu kusema ukweli wanawake warefu wanaukonga sana moyo wangu. Wanawake wafupi itokee tu basi, ila moyo wangu hasa unavutiwa sana na wanawake warefu.

Mwanamke mrefu hasa ukitembea nae njiani unajisikia ufahari. Mimi wanawake wafupi na wasio na mikia inatokea bahati mbaya tu vile nakua sina ramani yoyote kama vile simba akiishiwa nyama hula majani.

Salute kwenu wanawake warefu.

Naomba ieleweke kua haya ni maoni yangu binasfi na sio kumkshfu mtu yoyote.
Basi sawa
 
Back
Top Bottom