Kuacha milio ya simu na Whatsapp, Je ni umri au ni ushamba?

Tony Yeyo

JF-Expert Member
Mar 10, 2014
727
548
Huwa nachukia sana mtu akiwa ana chat kwa whatsapp bila kuweka simu yake silent yaani ile milio ya delivery meseji za whatsapp huwa ina nikera sana hata ringtone za simu aina yoyote huwa sipendi hata kusikia.

Mimi nahisi ni umri au wadau nyinyi mnaonaje?
 
Wengine ni kutokujua jinsi ya kuiondoa. Hata mimi nakereka.
 
Je ukiwa mjini au kwenye daladala?
kwenye makundi ya watu?
mikutano?
vikaoni?
utakerwa na simu ngapi?

ni maamuzi ya mtu na simu yake
yangu ipo silent miakaa
ila sikasirishwi ya mtu ikiita au whatsup text!
ni vijimambo tu unaweza kuvipuuza
 
Waliotengeneza hiyo App na hiyo simu wakaweka milio ni mabwege/wapumbavu au ni washamba sio?
 
Huwa nachukia sana mtu akiwa ana chat kwa whatsapp bila kuweka simu yake silent yaani ile milio ya delivery meseji za whatsapp huwa ina nikera sana hata ringtone za simu aina yoyote huwa sipendi hata kusikia.

Mimi nahisi ni umri au wadau nyinyi mnaonaje?
Utakuwa Una wivu Sana wewe.
 
Huwa nachukia sana mtu akiwa ana chat kwa whatsapp bila kuweka simu yake silent yaani ile milio ya delivery meseji za whatsapp huwa ina nikera sana hata ringtone za simu aina yoyote huwa sipendi hata kusikia.

Mimi nahisi ni umri au wadau nyinyi mnaonaje?
Mkuu hapo kwenye red una maanisha nini?
 
Back
Top Bottom