Kuacha: Kunauma kidogo
Kuachana: Kunauma kiasi
Kuachwa: Kunauma kupita kiasi
Kuachishwa: Kunaumwa sana
Ushauri: Acha kabla hujaachwa!
Wahenga walinena, dalili ya mvua ni mawingu!
Why talk of breaking up badala ya building up?
Mtazamo wangu wa mahusiano mengi yanayovunjika nowadays ni kutokana na mawazo kama yako ya, 'naingia kwenye huu uhusiano ila the first doubt ntakayopata nasepa!'
We should practice open talk..communication is the key!!! Mahusiano mengi yangekuwa yameokolewa...
Kuacha: Kunauma kidogo
Kuachana: Kunauma kiasi
Kuachwa: Kunauma kupita kiasi
Kuachishwa: Kunaumwa sana
Ushauri: Acha kabla hujaachwa!
Kuacha: Kunauma kidogo
Kuachana: Kunauma kiasi
Kuachwa: Kunauma kupita kiasi
Kuachishwa: Kunaumwa sana
Ushauri: Acha kabla hujaachwa!
Why talk of breaking up badala ya building up?
Mtazamo wangu wa mahusiano mengi yanayovunjika nowadays ni kutokana na mawazo kama yako ya, 'naingia kwenye huu uhusiano ila the first doubt ntakayopata nasepa!'
We should practice open talk..communication is the key!!! Mahusiano mengi yangekuwa yameokolewa...
Kuacha: Kunauma kidogo
Kuachana: Kunauma kiasi
Kuachwa: Kunauma kupita kiasi
Kuachishwa: Kunaumwa sana
Ushauri: Acha kabla hujaachwa!
utaacha kabla hujaachwa hata kama hakuna sababu muhimu ya kufanya hivyo!? Mapenzi kizungumkuti!!!!
hahahaa damn strait!!! he who has the last laugh has the power. mapenzi ni power struggle btwin a man and a woman. ndio maana unatakiwa ugegede na kumbwaga demu...wewe ndio utakuwa umeshinda the power battle.
Na watu smart wanaacha hawaachwi.
Yani unakuta mtu anafanyiwa vituko vya kila aina lakini yumo tu anasubiri hadi atupiwe nguo nje.
Raha sana kuacha hasa kuacha mtu alokuwa anajidai mjanja....unampa makavu live...its over...utasikia eeh unasemaje? Its overrrr. Huku unaangalia reaction usoni. Msisubiri kuachwa mtaja kunywa sumu bure...someni alama za nyakati
Yani atakama mtu alikuwa ana mpango wa kukuacha ukimwahi jua umemmaliza...ataumia forever...yani unakuwa umeshusha pride yake vibaya mmno.
kuna wengine tuliachwa mataa haswaa, mmetoka dinner hugs/kisses kibao, mna raha zote, anafika kwake anakucal kwamba amefika salama mnaagana kwa maneno mazito mazito, sikujua kama ndio nilikuwa naagwa moja kwa moja, kuachwa inauma sana sana, niliumia sana, nikitamani kujua nini lilikuwa tatizo mpaka akafikia hatua hiyo ya kuni dump tena kihivyo nilikosa jibu, mwenye jibu kakata mawasiliano na kila aina na mie, baada ya mwaka ananitafuta na kujiliza liza kwamba alikosea sana/hajui kitu gani kilimpata, sijui nini na nini, mxsiii.