Wakuu
Napata faraja sana ya maisha hasa baada ya kupitia mikikimikiki ya mapenzi, 96% ya akili yangu ilikua ikitumika kuwaza anayeitwa mwanamke niliempenda badala ya kuwaza mambo ya maana kama project za maendeleo ila baada ya kumuacha mpenzi niliempenda sasa naishi saaafi bila stress zozote.
Kupenda mtu ni kubaya sana, 99% za ubongo zinakua zinamuwaza umpendae na akijua unampenda utajuta, ATAKUFANYIA TIMBWILI ZA KILA AINA ila nachofurahi tu ni kua huwezi kukomaa kimapenzi kama hujawai umizwa, kama wewe bado,basi jua siku zinakuja.
Now am FREE
No woman no cry