Kua single kuzuri sana

Markomx

JF-Expert Member
Apr 23, 2016
701
699
Wakuu

Napata faraja sana ya maisha hasa baada ya kupitia mikikimikiki ya mapenzi, 96% ya akili yangu ilikua ikitumika kuwaza anayeitwa mwanamke niliempenda badala ya kuwaza mambo ya maana kama project za maendeleo ila baada ya kumuacha mpenzi niliempenda sasa naishi saaafi bila stress zozote.

Kupenda mtu ni kubaya sana, 99% za ubongo zinakua zinamuwaza umpendae na akijua unampenda utajuta, ATAKUFANYIA TIMBWILI ZA KILA AINA ila nachofurahi tu ni kua huwezi kukomaa kimapenzi kama hujawai umizwa, kama wewe bado,basi jua siku zinakuja.

Now am FREE

No woman no cry
 
wakuu

napata faraja sana ya maisha hasa baada ya kupitia mikikimikiki ya mapenzi,

96% ya akili yangu ilikua ikitumika kuwaza anayeitwa mwanamke niliempenda badala ya kuwaza mambo ya maana kama project za maendeleo

ila baada ya kumuacha mpenzi niliempenda sasa naishi saaafi bila stress zozote

kupenda mtu ni kubaya sana,99% za ubongo zinakua zinamuwaza umpendae na akijua unampenda utajuta,ATAKUFANYIA TIMBWILI ZA KILA AINA,

ila nachofurahi tu ni kua huwezi kukomaa kimapenzi kama hujawai umizwa,kama wewe bado,basi jua siku zinakuja

now am FREE

no woman no cry
Uko sawa member hata mid huwa kuna wakati nahitaji niwe na mpenzi na kuna wakati napenda niwe peke yangu maana Luna vitu huwa nikianza kufanya nachukua karibu muda mwingi sasa ukiwa na girlfriend SAA nyingine vitu haviendi anataka muda wote uwe nae
mapenzi ni matamu ila kuna kipindi na kipindi
 
Mi Jana tu tumefumwa kwenye minyasi tunafanya ndindiiiiiiiii tukafumwa nikamukimbia nikamuacha nikajua miharamia kwenye magazeti
 
Ni vizur kuwa single ... haswa kipindi unapo jenga maisha.. unapotafuta maisha.. akili yako inakuwa iko kwenye kazi tu...
Lakin ukiwa na mpenz.. akili yako inahamia kwake... na vile... hawa viumbe... ukikosa muda wa ku spend nao... hawachelew kuchepuka...
 
Hauwez kukaa single lazima utawasumbua dadazetu, labda uwe umeiweka kitanzi.Pia hata kama umependa usizidi hadi inafikia hatua kilaunachoambiwa haupingi hoja.Make sure haumuonyeshi baby wako reaction kama hizo hatakama unampenda atari,otherwise utabandika mabango kuwa upo single na bado unawasumbua watoto wa watu mtaani.
 
16 Reactions
Reply
Back
Top Bottom