Ku-zalisha Artificial intelligence product kutokea Tanzania (Africa) ni ngumu sana

Inabidi kuanza sehemu flani. Unataka kupambana na kila mtu wakati hauna uwo uwezo.

Muhimu kutumia nguvu, akili zako, uwezo wako sehemu ambazo unaweza kuwa na greatest Impact.
Ni wapi napambana na watu mbona unataka kunlisha maneno, mim nimeelezea changamoto zilizonikabili alafu unasema napambana na watu seriously
 
Niliwahi kushiriki kwenye project kama yako. Moja ya common issue nili experience. Gov ni wagumu sana kukupa data.. hata kama sio zike sensitive.. yaan tena wakisikia kuwa mna work kwenye AI or any sort of system automation wanaona kama mtawavurugia mifumo yao.
Yes getting data ni issue
Nimefungua artificial intelligence kampuni, Ila nimekuja gundua kudevelop artificial intelligence product kutokea Africa (Tanzania) ni ngumu sana, Kwa sababu zinahitaj data ili uweze ku-tumia algorithms kutengeneza product, mfano ili utumie deep learning unatakiwa uwe na data nyingi sana ili uweze ku-train neural network model, na makampuni mengi ya Africa hayako tayar kushare data na AI research company. Pili wataalamu; kufanya AI inahitaji ubunifu wa hali ya juu na kutokana na waafrica kuwa wavivu kufikiri imekuwa kikwazo kupata wafanyakaz wabunifu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ni wapi napambana na watu mbona unataka kunlisha maneno, mim nimeelezea changamoto zilizonikabili alafu unasema napambana na w
atu seriously

Cool, inaonekana hutaki maoni, ukiwa open minded itakusaidia. Umeweka uzi kuomba maoni. Ila unaonekana hujui kwa nini umeanzisha uzi. Hakuna mantiki ya kuongea na wewe. Aujitambui unataka nini.
 
Cool, inaonekana hutaki maoni, ukiwa open minded itakusaidia. Umeweka uzi kuomba maoni. Ila unaonekana hujui kwa nini umeanzisha uzi. Hakuna mantiki ya kuongea na wewe. Aujitambui unataka nini.
Kuna tofaut ya maoni na kumponda mtu
Niliwahi kushiriki kwenye project kama yako. Moja ya common issue nili experience. Gov ni wagumu sana kukupa data.. hata kama sio zike sensitive.. yaan tena wakisikia kuwa mna work kwenye AI or any sort of system automation wanaona kama mtawavurugia mifumo yao.
Yes getting data ni issue

Sent using Jamii Forums mobile app
Ni wagumu alafu hawataki kuelewa Ntakucheki mkuu tuone itakavyokuwa inabid MTU ufikiri out of the box
 
Sijui tungetumia neno uwingi wa data?
Ninachomaanisha ni kwamba kitechnology data 1 tu inaweza fika hio GB 100. Mfano Aerial scan ya sehemu fulani picha kwa format ya TIFF inaweza kuwa as large as GB 500. Hivyo haimake sense kusema program yetu inahitaji data za GB 100.

Bali ilitakiwa mtu aseme variables anazohitaji mfano entries za laboratory za kupima malaria, ukimwi, kisonono etc
 
Huenda anajitambua sema hatambui anachotaka kukifanya ni kitu gani?
Acha upumbavu wewe,itakua umesoma madesa online ndio unapata moto wa kuongea upumbavu wote huu!

Data hazitolewi kisenge...

Inaelekea hujui maana ya "data" kabisa....

Hakuna data zisizokua na owner/generator,akupe wewe third part kwa protocol zipi hasa ku-ensure usalama?

Data za watu upewe wewe,who the fvck are you?

Eti research,kwa faida ya nani?Hakuna shirika au mtu anatoa data bila kujua interests allocations zikoje na usalama wake!Wewe una usalama gani?

Unakuja humu unalalamikia dunia haikupi data,it shows you dont know wha'chu doing kabisa!

A.I serious wana generate their own data ateast pa kuanzia..

Unadhani unaamka asubuhi tu unakuta mlima wa data mezani umewekewa kilaza wetu wa A.I uzitumie kwa utashi wako?

Utakua hata hujitambui wewe!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mtoa mada ukirudi kwenye hii thread baada ya miaka kama 10 utaelewa unachoambiwa lakini hutaki kuona. Wewe si wa kwanza na hutakuwa wa mwisho. Kukusaidia, usiache kujifunza na usikate tamaa ukaishia walipoishia wenzako kabla yako.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom