Ku repair flash

Life starts at 45

JF-Expert Member
Sep 22, 2015
976
932
Nina flash hapa imezingua kusoma mass storage sasa nilikuwa nahitaji tools kwa ajili ya hii flash niweze repair lakini sijafanikiwa kuipata kwa wazoefu naombeni msaada
1562656027594.jpeg
 
Umaweza jikuta umetumia muda na Bundle kubwa kufanya Repair USB Flash Disk ya Sh. Elfu 10 na usifanikiwe
 
Me sijui kurepair ila kama una vitu unataka extract kwenye hiyo flash basi tumia Ultra ISO itafungua kila kitu!..
 
Me sijui kurepair ila kama una vitu unataka extract kwenye hiyo flash basi tumia Ultra ISO itafungua kila kitu!..
Aisee vp kama flash inaload kwa muda mrefu kwenye déco nini suluhisho lake
 
Back
Top Bottom