Ku-renew leseni ya udereva

Sawa mkuu. Japo nilitaka nijue taratibu za awali ili nikienda nisipoteze muda
Nenda na taarifa zako muhimu ikiwemo hiyo leseni iliyo kwisha muda wake. Ukifika tu mapokezi, shida yako itakuwa imeshapatiwa tayari ufumbuzi. Maana utaelekezwa dirisha la kwenda.
 
Back
Top Bottom