KU-RENEW LESENI YA MWAKA 2012

mpimamstaafu

JF-Expert Member
Jul 18, 2018
4,445
4,704
Wadau nilikata leseni mwaka 2012 nilitakiwa ni re new mwaka 2015 lakini sikufanya kutoka na kutokuwa na yo huko nilikokuwa kuhangaika na maisha.Nimerudi mwaka huu 2018 mwezi wa 8 je naweza ku -renew leseni yangu? Ni
Class D
 
Nenda ofisi za TRA, zilizo karibu nawe watakupa maelekezo
 
Back
Top Bottom