Ku download movies kwenye mtanadao | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Ku download movies kwenye mtanadao

Discussion in 'Entertainment' started by CLONEY, Jun 27, 2012.

 1. CLONEY

  CLONEY Senior Member

  #1
  Jun 27, 2012
  Joined: Apr 3, 2012
  Messages: 106
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Wana Jf naomba mnisaidie namna ya kudownload movie kwani nakosa uhondo kwa kusubiri ziletwe kwenye maduka yetu na wengine hushindwa kabisa kuleta ukizingatia wengine tuko mkiani mwa tanzania kwahiyo hata ukumbi wa kuonyeshea hakuna zaidi ya yale mabanda ya uswahilini na movie zilizotafasiriwa na dj.
   
Loading...