Ku-copy na ku-paste post yote!!! Kwa nini? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Ku-copy na ku-paste post yote!!! Kwa nini?

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Tripo9, Sep 11, 2009.

 1. Tripo9

  Tripo9 JF-Expert Member

  #1
  Sep 11, 2009
  Joined: Sep 9, 2009
  Messages: 2,168
  Likes Received: 65
  Trophy Points: 145
  Jaman, kwa nini wachangiaji wengi hu-copy na ku-paste original post yote? Mi huwa inanibore sijui nyie wenzangu. Kwa nini mtu usi-copy na ku-paste sehemu tu ya original post ambayo ni relevant kwa mchango unaotaka kutoa! Li-thread lizima kila mchangiaji akili-dublicate lote ni sawa na kuongezea mzigo (bytes) servers za JF na pia wasomaji warudierudie kusoma maandishi ambayo tayari yapo contained ktk original post. Wot do you think wit regard to this?

  Cheers
   
 2. BooSt3D

  BooSt3D Senior Member

  #2
  Sep 11, 2009
  Joined: Feb 29, 2008
  Messages: 130
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 33
  +1,

  huwa na hate Loooong Thread, yaani mind you hii ni opinion yangu, kama mtu aki-toa summary ya habari and then kuweka link ya issue yenyewe ni vizuri zaidi, as long as hiyo summary hai-kiuki/kuua maana nzima ya habari intended,

  B.
   
Loading...