Ku appeal mkopo.

OllaChuga Oc

JF-Expert Member
Jul 4, 2016
21,069
23,980
Wakuu habari zenu? Mimi mdogo wenu naitaji msaada wa namna ya ku appeal mkopo; bado sjajua hatua za kufata na vitu vya kuambatanisha. Hivyo naombeni msaada wenu wakuu maana siku zimekaribia kwisha. Asantenii
 
Loan board wanakazi sana, daah upo vizuri mkuu naona mkopo ni ziada tu maana umewekeza hata katikati napo k tu
 
Achana nao njoo nikukopeshe mimi kwa miaka 3 kurejesha mikopo tutaelewana tu usijali mdogo wangu.
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom