OllaChuga Oc
JF-Expert Member
- Jul 4, 2016
- 21,125
- 24,049
Wakuu habari zenu? Mimi mdogo wenu naitaji msaada wa namna ya ku appeal mkopo; bado sjajua hatua za kufata na vitu vya kuambatanisha. Hivyo naombeni msaada wenu wakuu maana siku zimekaribia kwisha. Asantenii