Ku apeal..

JMC prod

Member
Aug 4, 2011
90
2
Na0mbeni msaada apa wanajf ku apeal kwa mtu alopata mkopo mdogo ila hana wazaz wote wawili inawezekana? O ni kwa wale walokosa kabisa..
 
We wenzio hawana hata sent,we unafkria kuongezewa,ila inawezekana,jarbu 2.
 
Na0mbeni msaada apa wanajf ku apeal kwa mtu alopata mkopo mdogo ila hana wazaz wote wawili inawezekana? O ni kwa wale walokosa kabisa..

Unaweza kuappeal, ukiambatanisha death certificates za wazazi watakuwezesha.
 
Na0mbeni msaada apa wanajf ku apeal kwa mtu alopata mkopo mdogo ila hana wazaz wote wawili inawezekana? O ni kwa wale walokosa kabisa..
we mwambie a-appeal 2 na watampa 100%. Mi mwenyewe nakumbuka nilipata 80% lakn wakaja kunipa 100%
 
Waachie wenzako waliokosa nao!. Unataka 100% kwel watanzania hatupendani.
 
Kwa majibu ya bodi ya mikopo walisema hata uyatima una mwisho wake, kwa hiyo ukae ukifahamu kabisa kuna yatima waliokosa mikopo hata kidogo. Kama umepata hata hicho kidogo una Mungu sana, na endelea kusali ukimshukuru Mungu.
 
Duh

<br />
<br />
 
Wazaz msaada kwa hili. Nikipiga hesabu ya ela ya meal, acumdtn, stationry, field n research haitoshi kulingana na amount nilopewa kama fee imejumlishwa t means ni kias gani? Au amount wanayonilipia itatumwa chuo then niongezee? Mlo enda bodi na mwenye ufahamu anisaidie tafadhali..
 
Hyo ela inajumuisha kila kitu, so kokotoa kulingana na expenses za chuo, ndo utajua sh.ngap unapaswa kulipa.
 
Back
Top Bottom